Compaq hp inanisumbua

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau laptop yangu ilikuwa mpya ila baada ya kuitumia kwa mda nikaamua kuanza kutumia internet ila baada ya kuweka modem ikawa inagoma na kuandika kuwa window has stop working nikaipeleka kwa fundi akabadili window akaweka vista bussness(hiv ndivyo inavyoandika nikiiwasha) data zote zikapotea na baadhi ya section hazifanyi kazi kama mwanzo
1. Nikiwasha inachelewa kuwaka inachukua mda zaid ya dakika
2.bluetooth yake inatoa data tu na haipokei
3.camera yake inaonesha ndogo sana na haitaki kuwa maxmazed na haina mambo mengine kama visign vyakuongezea kwa photo
4.sehemu ya cd inasumbua mara nyingine inasoma mara nyingine inagoma
hayo ni baadhi ya matatizo niliyoyagundua!
Naomba msaada nifanyaje kuirudisha kama mwanzo?
 
compaq mchina hiyo umepigwa mkuu,nna compaq hapa hivyo vitu vyote vinapiga mzigo km kumsukuma mlevi
otherwise fanya back up recovery au tumia recovery cd itarudi km mwanzo,km huna hivi vitu pia katupe hicho kimeo
 
kuhusu hardware fundi amekufanyia makaratee tayari ushaibiwa ie cd rom, Pia kuhusu windows ilikuja na windows gani?
 
Wadau laptop yangu ilikuwa mpya ila baada ya kuitumia kwa mda nikaamua kuanza kutumia internet ila baada ya kuweka modem ikawa inagoma na kuandika kuwa window has stop working nikaipeleka kwa fundi akabadili window akaweka vista bussness(hiv ndivyo inavyoandika nikiiwasha) data zote zikapotea na baadhi ya section hazifanyi kazi kama mwanzo
1. Nikiwasha inachelewa kuwaka inachukua mda zaid ya dakika
2.bluetooth yake inatoa data tu na haipokei
3.camera yake inaonesha ndogo sana na haitaki kuwa maxmazed na haina mambo mengine kama visign vyakuongezea kwa photo
4.sehemu ya cd inasumbua mara nyingine inasoma mara nyingine inagoma
hayo ni baadhi ya matatizo niliyoyagundua!
Naomba msaada nifanyaje kuirudisha kama mwanzo?

mkuu tup feedback basi kama umefanikiwa au lah tukupe njia nyingine..!
 
Sasa wadau mmenishauri kubadili window je window gan iko fresh? au ni ipi huwa mara nyingi inatoka na hp compaq? nifanye hivyo kwasabu kabla ckujua kuhs window ilikuwa ipi na pia je kuna cd za hp compaq na zinaweza nisaidia kwa lipi?
 
mkuu hiyo lap yake kama unaipenda inaweza ikarudi nomo tu kama upo dar naweza kukusaidia with zero cost
 
swali rahisi: wakati unainunua ilikuwa na windows gani? ukijua hili itafute hiyo windows rudishia iliyokuwepo! na kama ulinunua mpya si inakuja na recovery cd zake ...tumia hizo kama hamna angalia vizuri lazima itakuwa na recovery partition ndani yake, kama ipo search google on how to use it for your machine/pc!
 
Back
Top Bottom