Comoros military action cost 7.1bn/-

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,193
299
  1. Hivi serikali haiwajibiki kutufahamisha ni nani hao, "the so called Donors", waliotupa pesa ili tuende kupigana?
  2. Ni kwa nini taifa halikufahamishwa kabla ya kupeleka watoto wao vitani?
  3. Je jeshi letu lina tofauti gani na yale ya 'Mamluki'? Wapi tena tutalipwa kwenda kupigana??


Comoros military action cost 7.1bn/-

2008-06-19
By Lusekelo Philemon, Dodoma



Tanzania spent 7.1bn/ during the Africa Union-backed military operation that deposed Mohammed Bacar, rebel leader of the Anjouan Island in the Comoros in March, the House was told yesterday.

Deputy Minister for Defence and National Service Emmanuel Nchimbi said the government spent 7,123,000,000/- during the campaign that involved troops from Tanzania, Sudan and the Comoros.

Nchimbi was responding to a question posed by Wete MP, Mwadini Jecha, who had wanted to know how much Tanzania had spent during the mission.

Tanzania was commanding the AU troops that made a hardly one-day onslaught against Colonel Bacar, who fled to Mayotte, a nearby island under French administration.


Nchimbi said out of the sum, 6bn/- was contributed by foreign donors.

The minister said the money was spent on preparations, soldiers' allowances as well as logistics.

He said more than 500 African Union troops '400 from Tanzania, 168 from Sudan' joined 400 Comoros soldiers in the military campaign.

Bacar, the self-styled Anjouan leader, refused to relinquish power when his term expired in April last year. He instead held an illegal election using his own printed ballot papers and declared himself the winner in June the same year.

He then closed down Anjouan airport, expelled union soldiers and barred the Comoros Federation President Mohammed Abdallah Sambi from visiting the island.

The Comoros is made up of a union of three islands 'Ngazija, Moheli and Anjouan' all under one federal president. Under the Comoros constitution, each island has its own president although they are responsible to the federal president.

The Comoros Constitutional Court declared the election illegal, but Bacar refused to step down, prompting AU military action to get him out of power.

He is now living in exile in the Reunion Island, also under France. The Comoros administration has asked France to repatriate Bacar so that he can face justice.

Anjouan residents went to polls last Sunday to elect their president.


SOURCE:
Guardian
 
Hapa ndio usanii ulipo sasa...wakati Op inaanza walisema France na Libya zinasaidia Logistics..hmm!!!

Kingine idadi ya wanajeshi naona imepunguzwa karibia nusu nzima....Kutoka 700 mpaka 400
 
Hapa kuna dana-dana nyingi sana zinazopigwa, lakini yote tisa, kumi ,ni nani huyo aliyetulipa kwenda vitani? JWTZ sasa ni jeshi la Mamluki wanaolipwa kwenda kupigana?
 
Topic hii itamuuma sana GT asipopata upenyo wa ku-comment.... the matter is close to his heart, sijui kazila JF.... i dunno, ila katoweka!!
 
Pesa za Bush hizo! sababu mojawapo iliyomleta raisi Bush ni hiyo waliogopa hao jamaa kutunza na kufundisha watu wa Osama bin laden.Hivyo msimlaumu Kikwete kwani pesa imetoka kwenye fungu la Bush kichinichini.Kuna wakati unabidi ufanye vitu kama hivyo kwa manufaa ya nchi na wananchiwa kawaida ni vigumu kugundua umuhimu wa vitu fulani kwani hawana uwezo wa kufikiria kiupana.
 
Du! kumbe hili nalo linahitaji mjadala kweli kubwa jinga... uko fiti... kama unawasiwasi kwamba fedha iliyotumika ni ipi wapitishie wabunge mahiri watakutafutia hoja!!! tujadili mambo mengine ... this one is closed already!
 
Game Theory uko wapi? naona vita vyako vya Comorrow vimeshatolewa hesabu yake.
bilioni 6 wamepewa, tanzania imepata hasara ya bilioni 1 au na hiyo itarudishwa?
 
Game Theory uko wapi? naona vita vyako vya Comorrow vimeshatolewa hesabu yake.
bilioni 6 wamepewa, tanzania imepata hasara ya bilioni 1 au na hiyo itarudishwa? au si hasara kwa vile tumewapa wanajeshi wetu hiyo bilioni 1?
 
Usanii!!!

JWTZ kuongoza ukombozi Comoro

2008-03-15 09:02:14
Na Sammy Polly


Umoja wa Afrika (AU) umeiteua Tanzania kuwa kamanda wa jeshi la AU litakalohusika na operesheni maalumu kukikomboa kisiwa cha Anjouan ambacho kwa sasa kinakaliwa kimabavu na kiongozi aliyejitangazia madaraka mwenyewe,
Kanali Mohamed Bacar.

Akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, alisema tayari sehemu ya askari wa Tanzania watakaojiunga na kikosi hicho waliondoka nchini Jumanne wiki hii kwa ajili ya operesheni ambayo inaweza kuanza wakati wowote kuanzia sasa.

Alisema kwamba wizara yake ilishindwa kutoa taarifa rasmi kwa umma kuhusiana na kushiriki kwa Tanzania katika jukumu hilo kwa kuwa kiutaratibu ilihitaji kwanza Rais Jakaya Kikwete aliarifu Baraza la Mawaziri na uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kabla ya kuvitaarifu vyombo vya habari.

Waziri Membe alisema kwamba jeshi hilo limepangwa kuwa na jumla ya askari 1,800, ambapo Tanzania inatarajia kupeleka askari 750, Senegal na Sudan (750) na Comoro yenyewe 300.

Alisema tayari Tanzania ina askari 200 waliopo Comoro kwa ajili ya kulinda amani.


Leo wanasema

He said more than 500 African Union troops�400 from Tanzania, 168 from Sudan�joined 400 Comoros soldiers in the military campaign.
 
Hii Serikali inajimaliza miaka hii nadhani wabunge wa Upinzani ama ndani ya CCM wenye kutaka ukweli warudie kujua ukweli ni upi .Kuna uongo mkubwa ukiona kwa kuanzia kuna info za aina hii .

Sudani inaua watu lakini nayo ikapeleka wanajeshi ?
 
  1. Hivi serikali haiwajibiki kutufahamisha ni nani hao, "the so called Donors", waliotupa pesa ili tuende kupigana?
  2. Ni kwa nini taifa halikufahamishwa kabla ya kupeleka watoto wao vitani?
  3. Je jeshi letu lina tofauti gani na yale ya 'Mamluki'? Wapi tena tutalipwa kwenda kupigana??



Comoros military action cost 7.1bn/-

2008-06-19 09:42:25
By Lusekelo Philemon, Dodoma


Tanzania spent 7.1bn/ during the Africa Union-backed military operation that deposed Mohammed Bacar, rebel leader of the Anjouan Island in the Comoros in March, the House was told yesterday.

Deputy Minister for Defence and National Service Emmanuel Nchimbi said the government spent 7,123,000,000/- during the campaign that involved troops from Tanzania, Sudan and the Comoros.

Nchimbi was responding to a question posed by Wete MP, Mwadini Jecha, who had wanted to know how much Tanzania had spent during the mission.

Tanzania was commanding the AU troops that made a hardly one-day onslaught against Colonel Bacar, who fled to Mayotte, a nearby island under French administration.

Nchimbi said out of the sum, 6bn/� was contributed by foreign donors.
SOURCE: Guardian

Habari hizi ambazo ndugu yetu GT ameulizia sana kuataka kujua na alipo pata habari hizi hakuwa la kusema bali mshangao.
creatista070800091.jpg
 
Mmojawapo kati ya Membe na Nchimbi amelidanganya Taifa kuhusiana na hii Operation....
 
Back
Top Bottom