Community Airline Yasimamisha Safari Zake

TAIKUBWA

Senior Member
Jan 20, 2008
115
1
Maskini DIALOOO;;;;;;;;;;;KAKA YETU.......
Kwenu wanandugu,,habari za kusitisha na kuuzunisha kwa wale ambao
walikuwa wasafari wa ndege ya COMMUNITY AIRLINE...Waheshimiwa wameamua kusimamisha safari baada ya kushindwa kulipa ndege waliokodi mwanzoni na hivyo kuamua kufuta kabisa mpaka hapo watakapotangaza tena.,,habari hii unaweza kuisoma kwenye website yao ASAP...kwa kweli nilikuwa mpenzi sana wa ndege hii na kama mnakumbuka kuna siku walitunynyasa hapa uwanjani tukiwa tunaelekea msibani...awakutokea uku tukiahwa kama paka wasiojua nini cha kufanya......mpaaka tuliporushwa usiku wa manane na ndege ya ATCL.......mwanzoni nilifurahi maana nilichokuwa nafanya ni kujitahiidi kila ndugu awe amepanda ndege kabla ya kfa kwao hata hivyo alibaki bibi ambae alikataa kuja toka mwanza...swali langu najiuliza ndugu yangu dialo kabla ya kuingi kwenye hii shuguli uliomba busara za wana...ANGA..????habari zilizotufikia ni kwamba wafanyakazi wote waliochukuliwa toka
mikoani wamerejeshwa makwao mpaka watakapoitwa tena.....na hakuna taarifa kuhusu mshahara watalipwa au lah..
karibu mkuu DIALO hii ndio bishara ya ndege waulize ""AIREXPRESS"

KAZI KWAKO MKUU
 
Biashara ya ndege bila mipango mathubuti ni usaniii!!!!!!


Sasa kwa nini esiige Precision Air amboo wanapenta Tz, Kenya na SA.

Taabu pia ni kuajiriri wajomba ktk biashara ndo hii huua kampuni na ndo maana Precision Air bado wanapeta!
 
Ni kweli nimesoma hivyo, na Sitashangaa sana kama hawatarudi. Kuna tetesi kuwa Ted yumo mle, sina ushahidi (maana ni tetesi.) Kwa namna walivyokuwa wanafanya biashara, sidhani kama vitabu vyao vya fedha viko safi.
 
Uwaziri ndo ulikuwa unaweka ndege hewani nini? kama nilivyosema mwanzo..biashara nyingi zitakufa watu watakapo vuliwa uongozi serikalini..coz sasa hawana njia ya kutishia na kukwepa sheria uongozi,kukwepa kodi na kutumia power to keep their busineses running smoohtly..kazi kweli kweli..
 
Kwenye ile thread ya "Community Airline ya Nani?" iliyowekwa hapa wakati huu mradi ulipoanzishwa niliyatabiri haya japokuwa kuna mliokuwa mkimfagilia Diallo. Hii imekuwa sasa common treand kwake, biashara zake nyingi zinaanza kwa mbwembwe then baada ya muda mfupi zinakufa kifo cha mende na sababu kuu ni yeye mwenyewe kutotaka kuajiri watu wenye utaalamu na kuendelea kung'ang'ania ndugu zake, katika ulimwengu wa biashara wa sasa- he has no chance kama hataacha huu ujinga.
 
Uwaziri ndo ulikuwa unaweka ndege hewani nini? kama nilivyosema mwanzo..biashara nyingi zitakufa watu watakapo vuliwa uongozi serikalini..coz sasa hawana njia ya kutishia na kukwepa sheria uongozi,kukwepa kodi na kutumia power to keep their busineses running smoohtly..kazi kweli kweli..

Mkuu Kana, au Richmond ilikuwa inai finance ile airline....? Ninawaza kwa maandishi tu jamani, msinirukie machoni mwenzenu..
 
Mkuu Kana, au Richmond ilikuwa inai finance ile airline....? Ninawaza kwa maandishi tu jamani, msinirukie machoni mwenzenu..

Acheni uchuro, tovuti yao imesema wanafanya matengenezo watakuja hewani muda si mrefu...
 
Nadhani na lile jarida lake la Weekly Mail na viwanda vya Sahara viko matengenezo! Naelekea kuamini zaidi maoni ya Kana!
 
just for info,,MASATU,KASHESHE NA WALE WAPENDA AMANI,,
TATIZO SO TECH RAFIKIZANGU,,UNAKUMBUKA WALICHUKUA NDEGE YA B737-800,,TUKATOA MAONI YETU HUYU HANA MUDA AWEZI KURUN MWANZA,MOSHI NA 800,....BADAE BDEGE HII WAKADAI INA TECH PROBLEM,,KWA TAARIFA WALIKUJA KUSHTUKA WANATUMIA MORE FUEL DIFF NA HELA WANAYOPATA WAKA DECLARE LOSS,,KUTAKA MBADALA WAKAOMBA NDEGE NNYINGINE.....
WAKALETA 500...HII KWA BAHATI MBAYA ILIKUWA IMESHALIPIWA INASUBIRI MTU KUCHUKUA,,,MWEZI WA 4,,HIVYO NEEMA IKAMDONDOKEA
AKALETEWA HII ILIONDOKA JANA,,,SASA BASI KWA TAARIFA TU,,USIMWAMBIE MTU LABDA BUSH,,,WALIKUWA WKAIJUA WANAMALIZA LINI WAKAJULISHWA NDEGE TUWARUDISHIE???WAKASEMA KWA ILE HAPNA TUNAOMBA NYINGINE,,.....WAKAAMBIWA WASUBIRI MPAKA ZITAKAPOPATIKANA,,,,NA NDIPO WAKAONA KUNA UMUHIMU WAKAUOMBA WAENDELEE NA HII WAKAMBIWA TOO LATE..,...,HIVYO BWANA KASHESHE SWALA LA TECH HALIPO,,,HAPA MAMBOMGUMU RUNINGCOST SHEHE,,KAMA LOWASA ALIVYOAMBIWA,....KUTOKANA NA HOJA HIII UCHAMBUE MWENYEWE
KILA LA KHERI
AMEN
 
Ni kweli nimesoma hivyo, na Sitashangaa sana kama hawatarudi. Kuna tetesi kuwa Ted yumo mle, sina ushahidi (maana ni tetesi.) Kwa namna walivyokuwa wanafanya biashara, sidhani kama vitabu vyao vya fedha viko safi.
Ha ha ha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom