Hii community airline iko wapi? Au ni matunda ya pesa chafu? Ama wamefulia kabla ya kuvaa?
pesa chafu ya epa ndo ilianzisha hii kampuni, dk.slaa alipolianzisha hili zengwe fyuuuuuuuu wakanywea....thts it.
ilikuja vizuri sana kipindi hicho, ikawasaidia watu wengi ushindani wa makampuni ya ndege yalikuwa mkubwa sana kipindi kile
tatizo sijui ni nini wamewaacha kina michael ngereku shirima wanafanya wanavyotaka
naikumbuka ndege hii , naililia ndege hii
tatizo lilikuwa ni nini?
Nani alikuwa mbaya?
Inaweza kurudi tena?
Tuombe uzima