Commercial Bank of Africa (CBA), imetangaza kuyafunga matawi yake madogo ya Tunduma, Moshi, Mtwara na Mbeya

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Commercial Bank of Africa (cba), imetangaza kuyafunga matawi yake madogo ya Tunduma, Moshi, Mtwara na Mbeya ifikapo Aprili 11, 2018. Hata hivyo imewahakikishia wateja wake kuwa, huduma zitaendelea kupatikana kama kawaida katika matawi mengine yaliyoko maeneo mbalimbali nchini.

DYEPmexWkAM9YyD.jpg large.jpg

Chanzo: Swahili
 
teknolojia inavyozidi kukua inazidi kupunguza uhitaji wa matawi ya benki dunia nzima...

kwa sasa hivi benki unaenda kama unahitaji mkopo au sababu kubwa sana.. ila shughuli zingine nyingi za kibenki unaweza zifanya hata ukiwa chumbani kwako

hii inapunguza uhitaji wa matawi
 
Mpango kazi ni kuwafanya watu waishi kama mashetani. Chakubanga oyeee
 
teknolojia inavyozidi kukua inazidi kupunguza uhitaji wa matawi ya benki dunia nzima...

kwa sasa hivi benki unaenda kama unahitaji mkopo au sababu kubwa sana.. ila shughuli zingine nyingi za kibenki unaweza zifanya hata ukiwa chumbani kwako

hii inapunguza uhitaji wa matawi
Labda ukimwambia mkulu hii sababu ndo atakuelewa
 
Back
Top Bottom