Comments bora JF toka mwaka umeanza

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,378
Kuna hii coment nimekutana nayo wakati napekua nyuzi za watu. Pia naitunuku kuwa koment bora wakati mwaka 2019 unaendelea
Screenshot_2019-02-10-22-28-23-1.jpeg

Huyu bright platnumz kauliza swali sikongefdc kamjibu

Uzi wenyewe ni huu hapa
Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota? - JamiiForums

Kama na ww una comment bora iweke hapa
 
Back
Top Bottom