Comment vifaa vitatu ambavyo vinakuzunguka eneo la kazi

Inatakiwa kila unapoenda kujisaidia unaangalia nani kajistiri humo.
Nakumbuka miaka ya nyuma sana kuna jamaa alitoka kwenye sleeping bag yake kwenda kujisaidia ile kurudi kaingia na kufunga zipu duu kumbe kuna nyoka kaingia humo jamaa aliwahiwa mara tatu


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Duh.. Pole yake.. Kuna powder inatikw kumwagia around eneo unaloweka Short time camping so kama kuna wadudu hatarishi wanasogea mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona mtu wa forex mpaka sasa na mzee anavyodili na dola sijui wale walioifanya full time job wana hali gani hahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Oi tuchangamkeni watanzania jumapili Kama hizi Ni siku za kuchangamka,TUnataka tujuane kwa kazi taja: vifaa,tools, devices, items tatu(3) ambazo una deals nazo Sana ukiwa kazini kwako.members wa jf tukutabirie kazi utayokuwa unafanya
Tuanze na huyu dada ninaemkubali Sana humu anaitwa Demiss niambie vifaa vyako vitatu vinavyokuzunguka wherever you work?

Buti, Pegi na Kibuyu cha Maji


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom