Comment hapo chini unakionaje kingereza changu

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Jamani mimi napenda sana kingereza najifunza taratibu,naomba mnaojua mnirekebishe nilipokosea na upande gani unanisumbua zaidi natuma hiki kipande hapo chini
Screenshot_20210402-114318.jpg
 
Kuna shule nilikuwa nafundisha. Kuna dogo aliandika essay kama hiyo, kama muimba hiphop. Kaweka maneno shizzle, dat, manizzle nk.
 
Kuna shule nilikuwa nafundisha. Kuna dogo aliandika essay kama hiyo, kama muimba hiphop. Kaweka maneno shizzle, dat, manizzle nk.
Achan na ayo mapambo kwani ya ngeri!! Ayo yanaitwa mapambo yananogesha lugha tu sio kwamba nimeshindwa kuweka herufi zake hapana.. Ata nywele ukinyoa kichwani unajidesgn kwanini usinyoe moja kwa moja bila fank?
 
Mapambo gani hayo ya uwendawazimu.
 
• Jitahidi kufuata alama za uandishi. Kwa mfano, badala ya kuandika "we cant" andika "we can't"

• Jifunze matumizi ya articles (the, an & a). Kwa mfano, hakukuwa na haja ya kuandika "we ar not the bankers'" andika "we are not bankers"

• Hatupaswi kuongeza _s, _es, wala _ies kwenye vitenzi vyote vinavyohusisha future tense. Kwa mfano umeandika "the complains will remains" badala ya "the complaints will remain"

• Kama unaweza, hakuna haja ya kutumia 'x' badala ya 's' au 'c' badala ya 'th'. Inapunguza professionalism.

Conclusively; una Kingereza kizuri. Ukiendelea kufanya mazoezi na kuwa wazi kurekebishwa soon utajua Kingereza kizuri na kilichonyooka. Keep it up and never give up.

Wishing you the best.

#MagufulismForLife
 
Back
Top Bottom