Commedians

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
wANA JF ANGALIENI VITUKO VYA HWA JAMAA KWENYE PICHA, HIVI HUYU NI JK NA ROSTAM 2005!!!!
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA ETI LEO NI FISADI KAVULIWA GAMBA NA HUYO HUYO JK.WANA LAO JAMBO
 

Attachments

  • 261643_197909483595330_100001288404808_633544_5436207_n[1].jpg
    261643_197909483595330_100001288404808_633544_5436207_n[1].jpg
    4 KB · Views: 35
Kikao cha kuvuana maganda hawa watu inawezekana akili zao waliziacha majumbani mwao wakawa wanafikiri kwa ma...masaburi
 
Kikao cha kuvuana maganda hawa watu inawezekana akili zao waliziacha majumbani mwao wakawa wanafikiri kwa maka....mata...masaburi
 
Umenikumbusha, kuna jamaa amesema Nape aende Arusha halafu ahutubie watu na kusema Chadema ni wahuni ndipo atakapotambua kwa nini vijana wa arusha wanaitwa machalii na sio masela kama vijana wa temeke.
Maigizo ya NAPE tu!
Wenyewe wanapikiana na kupakuliana!
 
Kikao cha kuvuana maganda hawa watu inawezekana akili zao waliziacha majumbani mwao wakawa wanafikiri kwa maka....mata...masaburi
 
Back
Top Bottom