Coming Soon-2009 Movies

Terminator Salvation.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=pdvaP9oNe2M[/media]
 
Wolverine, terminator, angels n demon........

The earth stood still (keanu reeves) was bogus.....
Benjamin button (brad pitt) cant wait....
 
Huyo "bronzo" ni pigo za kibosi, mambo ya geti kali, adhabu kunywa maziwa....;)

Hivi una idea hiyo Bourne 4 ni novel gani kati ya zile za Robert Ludlum?? Kuna novel moja ipo kwa jina lake, lakini iliandikwa baada ya yeye kufa inaitwa "The Ambler Warning." Besti, hiyo kitu si mchezo na nasubiri sana siku wakiitengenezea movie....

NN, cruise yako inaendeleaje?? au zilikuwa kamba tu kama safari ya MKJJ kwenda likizo bongo desemba hii!!! Bwahahahahah....

Happy Holiday ya'll....

Hamna mtu wa geti kali hapa wala nini. Sikuzaliwa Ocean Road wala kukulia Masaki mimi wewe....mtoto wa uswekeni mimi...

Cruise linaenda bomba sana. Sasa hivi tunakaribia kutia nanga Nasau...niko na cupcake wangu na yeye anakusalimia. Ukipata muda nicheki kwenye simu.

Huu ushauri tu babu...ukipata tax returns zako mwezi wa pili tenga kiasi uende kwenye cruise na wewe. Wabongo hamna mazoea hayo sijui kwa nini...it's not that expensive
 
Tuweke picha basi kama ushahidi!! hivi leo weather ipoje ATL?? Huku ili- snow jana usiku na leo mvua basi aaaaaaaagh kero tupu..LOL

Ukitaka picha holla kwenye email...

Weather ATL leo bomba tu ninavyosikia.....sasa hivi nimetoka kuangalia kwenye wsbtv.com ni 66 degrees....ila mimi niko Nassau sasa hivi nakula raha...ATL tutaiona Jumamosi mimi na cupcake wangu tukirudi....
 
Ha ha!! Ungekuwa wa uswazi usingeuliza adhana ni nini...
Sijui watachukua kutoka kwenye kitabu kipi, maana kuna kama vinne vimeendelea baada ya Ultimatum...ukisoma vitabu na kuangalia movie kuna tofauti kubwa sana.
 
Hii thread ni kwa ajili ya movie zote zinazotoka 2009....so far nasubiria Wolverine na Angels and Demons

Wolverine
[media]http://www.youtube.com/watch?v=HlC0XQ6VXNQ[/media]

Angel and Demons
[media]http://www.youtube.com/watch?v=jbK-r651sNI[/media]

Wolverine itakua bonge la movie...yaani hizi X-Men haziishi jamani?
 
Huyo "bronzo" ni pigo za kibosi, mambo ya geti kali, adhabu kunywa maziwa....;)

Hivi una idea hiyo Bourne 4 ni novel gani kati ya zile za Robert Ludlum?? Kuna novel moja ipo kwa jina lake, lakini iliandikwa baada ya yeye kufa inaitwa "The Ambler Warning." Besti, hiyo kitu si mchezo na nasubiri sana siku wakiitengenezea movie....

NN, cruise yako inaendeleaje?? au zilikuwa kamba tu kama safari ya MKJJ kwenda likizo bongo desemba hii!!! Bwahahahahah....

Happy Holiday ya'll....

Kwa mujibu wa wikipedia ni kwamba Bourne 4 will not be based on any novels by Robert Ludlum...
 
Ha ha!! Ungekuwa wa uswazi usingeuliza adhana ni nini...
Sijui watachukua kutoka kwenye kitabu kipi, maana kuna kama vinne vimeendelea baada ya Ultimatum...ukisoma vitabu na kuangalia movie kuna tofauti kubwa sana.

Miye sijui kila kitu...

So adhana ndo nini?
 
Ha ha!! Ungekuwa wa uswazi usingeuliza adhana ni nini...
Sijui watachukua kutoka kwenye kitabu kipi, maana kuna kama vinne vimeendelea baada ya Ultimatum...ukisoma vitabu na kuangalia movie kuna tofauti kubwa sana.

Yap ni kweli kuna vitabu kama vitatu vimetoka na kingine cha 4 kitatoka mwakani..Vitabu hivi havijaandikwa na Robert Ludlum bali vimeandikwa na Erick Van Lustbader kwa ruhusa maalum..Vitabu hivyo ni The Boune Legacy(2004),The Bourne Betrayal(2007),The Burne Sanction(2008) na The Bourne Deception kitakachotoka mwakani...Bourne 4 haitatokana na mfululizo wa kitabu chochote cha Robert Ludlum(bado sijajua watatumia kitabu kipi)..Angalia link hii George Nolfi - News Be blessed mkuu
 
Wolverine itakua bonge la movie...yaani hizi X-Men haziishi jamani?

Ninaisubiri hii kwa hamu nyingine zilizopita nimeangalia nusu nusu tu. Valkyre inatoka lini tena? Maana walikuwa wanasogeza tuu mbele mpaka nimeshindwa kukeep up.
Transporter 3 ni poa sana kuliko ya pili.
 
Ebanae Keshia Knight Pulliam amekua kweli kweli. Naona hii itakuwa poa sana. TP is getting better kila siku.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=gjTtHDKFn9s[/media]
 
Back
Top Bottom