Coming 2 America Inaondoa stress zangu zote

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.

Nilipenda Wesley Snipes alivyocheza character ya general izziiiiiiiii na vile anavyoongea kwa pozi na hizo stunt zake yeye na hao askari wake aloo ni shida ni character amabaye nimkubali sana humu na yule mtoto wa king Akeem wanamwita the bastard.

Davido naye alinikosesha na ngoma zake alafu biti la halelujah sikulisikia humu au ni mimi tu

Tuambie mdau character yupi kakufurahisha humu.
 
Nasikia Wema kapata dili huko?
 
Nimetoka kuangalia army of the dead.Sio kali saaana ila Zack Snyder ashatuteka maana movies zake 2hrs na kuendelea.
 
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.

Nilipenda Wesley Snipes alivyocheza character ya general izziiiiiiiii na vile anavyoongea kwa pozi na hizo stunt zake yeye na hao askari wake aloo ni shida ni character amabaye nimkubali sana humu na yule mtoto wa king Akeem wanamwita the bastard.

Davido naye alinikosesha na ngoma zake alafu biti la halelujah sikulisikia humu au ni mimi tu

Tuambie mdau character yupi kakufurahisha humu.
Nilicheka pale mama yake na bastard alipofika kwenye palace, sasa kuna sehemu alikuwa anaoga kwenye swiming pool afu chini kuna mfanyakaz wa kiume ananyonya mafuta!! Jamaa aliishiwa pumz akaibuka maza akamwambia zama tena uendelee kunyonya k**
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃
 
Back
Top Bottom