Coming 2 America 2

mart66

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
610
691
Baada ya kusikia coming to America 2 inatoka nilikuw na mzuka sana wa kuiona hasa ukizingatia namba moja edddie alifanya kazi nzuri hasa kucheza roles tofauti tofauti

Jana baada ya kuachiwa io movie nikajitafutia gb 1 niweze kuanglia huo mzigo
But i was disappointed matarajio yangu kuwa itakuwa kali kama ile ya Kwanza but kwa hii ya pili Eddie kazingua sana Imekuwa movie ya kawaida sana haina maajabu yoyote

Only scene chache ndo zimenivutia especially anko ake yule prince alivokuw anaact
Sehemu nyingine ni ya Davido performance kwenye sherehe katisha sana
 
Kwa wakati huu, ili Eddie Murphy aweze kucheza picha inayovutia, anatakiwa kucheza picha ya "kolabo" kama vijana wa siku hizi mnavyoita. Kwenye picha hiyo wanatakiwa kuwemo tuseme watu kama akina Will Smith, Dennis Rodman. Leonardo Di Caprio na wengine wengi maarufu. Murphy akicheza picha na watu hawa lazima tu itapendeza
 
Film ni nzuri mno. Nimemuona Rotimi wa Vanessa. Halafu yule prince wakati anakwenda kukata ndevu ya Simba alikuwa amejifunga bendera ya Kenya. Ni mkenya ?
 
Film ni nzuri mno. Nimemuona Rotimi wa Vanessa. Halafu yule prince wakati anakwenda kukata ndevu ya Simba alikuwa amejifunga bendera ya Kenya. Ni mkenya ?
Sijajua nahisi ni maswala ya kiafrica ile muvi ipo kiafrica sana nazani ww mwenye umeona hilo ndo maana mule wamejaa black america na african na mondi angekuwepo angetisha
 
Back
Top Bottom