"Comics" za Tin Tin zi wapi?

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano).
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na wauza vitabu wa mitaa ya mjini, kwa Dar, niliiishia kuugulia maumivu ya miguu tu.

Yananikumbusha mbali....!
 
Kupata comics dar es salaam ni kazi kubwa sana, hasa hizi za nje, jaribu kuongea na Wahindi wenye bookstores, otherwise itakubidi uweke order kwenye intaneneti.
 
kama unajua mtu uengereza zinapatikana chache waterstones (children department) lakini nilikuwa nazo kwenye cd nilinunua ebay ila cd sijui ipo wapi sahizi ila kama una ebay account search kuna watu wanauza zipo kwenye cd nathani utapata matoleo yote
 
Arusha utapata baadhi yake zile comics kwenye duka la vitabu linaitwa Bookpoint, japo ni bei ghali kidogo. kama unahitaji seriously nambie nikutumie.
Kale ka'mbwa kanaitwa SNOWY, na ni msaada mkubwa kwa Tintin. Pia watu kama Captain Haddock ni so hilarious.
 
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano).
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na wauza vitabu wa mitaa ya mjini, kwa Dar, niliiishia kuugulia maumivu ya miguu tu.

Yananikumbusha mbali....!

Nenda pale bookshop ya steers or branch yao slipway huwa wanazo, nishawahi nunua hapo
 
Back
Top Bottom