Comfirmed: Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba atua Yanga SC

.
IMG_20220116_233306.jpg


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Umekosa hoja umeazna kuokoteza vitu vya kijinga
-Morrison
  • Gadiel
  • Kakolanya
Na yule Doctor wa viungo wametoka wapi ?
Benno Kakolanya
Alisajiliwa kuitumikia Klabu simba kwa mkataba wa miaka 2 akiwa kama mchezaji huru baada ya kuondoka katika klabu ya Yanga SC kutokana na kutopata malipo yake.
 
Aliyekuwa kocha wa Magolikipa na kuifanya Simba ifungwe na Kaizer Chiefs F.C. bwana Milton Nienov aibukia Yanga. Tuliaminishwa kuwa leo kuna jambo kubwa; kumbe kocha mzembe mwenye ujuzi mdogo kwenye mipira ya cross.

Kila kitu wakiachana nacho Simba yanga wanaona ni dhahabu.

Mashabiki wa yanga waliaminishwa Phiri au Msuva, kumbe utopolo kibao.
Acha umbea wewe,aliyetaja ni Phiri au Msuva ni nani? Umbea ni aibu tuache na watu wetu kama ni magalasa ni ya kwetu siyo kuja kutuwekea maneno mdomoni. Sisi tumefurahi sana ujio wa Ushindi na Kocha wa makipa. Sasa wewe inakuuma nini mpaka unakimbilia kuleta umbea hapa.
 
Back
Top Bottom