Comediams wa Kenya wanafanya poa kuliko wa Tanzania

Namkubali Vinnie Baite
akili mtu wangu
Mzee wa mandam
 
Attachments

  • Vinnie.jpg
    Vinnie.jpg
    51.3 KB · Views: 22
Kanyaga na Muziki East africa nzima best top10 lazima watoke Tz na konde gang kama kifungashio cha list.

Anyway sio lazima muzidiane kwa kila jambo, hata USA mpira wa miguu kwao ni tatizo lkn walete kwenye michezo ya tennis&music& movies entertainment ni baraaa,

Hivyo basi tusichekane kila mtu ajivunie alichopewa
 
Nani aliyecheka?
 
Tz kitu pekee mtu anafanya kwa umakini ni "umbea" hata muziki kinachotupitisha kwao ni kiswahili sanifu. Masauti na saut sol wangetosha kuwakalisha wasanii wengi bongo. Mondi alikuwa zamani sasahv anatumia jina tu.
 
Kwamba kwasasa kenya ipo juu kimziki kuliko Tz?
 
Tanzania hakuna comedians hata mmoja!wanaforceforce tu...Bora hata Uganda Wana teacher Mpamire
 
Kweli nabii hakubariki kwao,Mimi ni mfwatiliaji wa maswala ya burudani na michezo kwa east Africa hakuna nnchi inayoizidi Tanzania kwa burudani na hata michezo.
 
♦️Mzee Ojwang✅

♦️Olexanda josephat

♦️ Nyukakota

♦️Makhoha

♦️ Masakuu

♦️Mwala

♦️Mama kayayii

Hawa wote wa sasa kuanzia omondi na wote wa chunchil hakuna kitu
Usisahau mchepuko wa mzee Ojwang, mama Kaninii.

Ondiek Nyukakwata.

Vitimbi na vituko mahakamani ndio my favorite comedy show of all times.
 
Wale walikuwa na commedy za vituko vinavyofundisha sio hawa wa sasa hivi akina omondy, hamo, wakija bongo ni habari za kuwaongelea akina diamond utafikiri tuna time nao.

Kwa East Africa sasa hivi mtu anayeweza kunichekesha ni KANSIIME ANNE tu wa Uganda
 
Back
Top Bottom