Kama una malengo ya kuwa engineer kasome PGM.coz Ina wigo mpana.
Nimesikia kwamba upande wa wauguzi wanapunguza vigezo kwa nn tena
Shida ni nininimeiskia
Ili.Msome then mbakie kuwa ma Jobless.Nimesikia kwamba upande wa wauguzi wanapunguza vigezo kwa nn tena
Ngoja tutafte pesa tuIli.Msome then mbakie kuwa ma Jobless.
Fani za afya siyo KABISA
hususani Uuguzi.
Shida ni nini
Kama una malengo ya kuwa engineer kasome PGM.coz Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya kuwa mtu wa afya/Science kasome PCB..Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya KUFANYA kazi zisizotumia akili nyingi
kasome HGL Ina wigo mpana kuliko comb zote za Arts.
Kama una mpango wa kuwa mfanyabiashara
EGM.ni best kuliko hata ECA
General.
Combination Nzuri kwa masomo ya Science Ni
PCB-Ina Wigo Mpana
PGM-Ina Fursa nyingi,kuliko PCM
PCM
CBN
CBG.
Kwa Biashara Ni
EGM- Ina Fursa, endapo ukagoma kusoma biashara mbeleni
ECA
Kwa Arts Ni
-HGL-Ina Fursa nyingi Sana kwa zile course ZENU
-KFL-Ipo on sport haswaa ukizamia tourism
-HGK
-GKL
-HKL
Angalizo,Kama uwezo upo Nenda College
Point Ni 10. hizi Ni point za mwisho kusoma Combination yoyote Ile.na kuhusu cutting point vp?
Sahihi.ni rahisi daktari kuwa na Dispensary yake (kujiajiri)Ngoja tutafte pesa tu
Point Ni 10. hizi Ni point za mwisho kusoma Combination yoyote Ile.
lakini utegemeana na Shule unayoenda.
katika hizo point kusiwe na fail (f)
I.e CCD Happ unasoma kabisa.
Kama ulitaka PCB Na ukawa na D ya physics Ila mengine ukapiga Basi PCB utaisoma.
Ni bora hata aliyesoma kilimo na ufugaji kwa sasaPoint Ni 10. hizi Ni point za mwisho kusoma Combination yoyote Ile.
lakini utegemeana na Shule unayoenda.
katika hizo point kusiwe na fail (f)
I.e CCD Happ unasoma kabisa.
Kama ulitaka PCB Na ukawa na D ya physics Ila mengine ukapiga Basi PCB utaisoma.
Ni bora hata aliyesoma kilimo na ufugaji kwa sasa
Wapi hiyo
Ndio, mkulima ana wigo mpana wa kujiajiri, mfano hapa Dar ukifanya kilimo cha umwagiliaji kinalipa mnoumesema bora alie soma ufugaji sjaelew