Combination ya Dr Kimei Waziri wa Fedha na Tarimba Abbas Waziri wa Viwanda na Biashara naikubali sana!

Mlimuharibia kazi kocha Kaze wa timu ya wananchi kwa kumpangia wachezaji,naye akawafuata ninyi mashabiki mlivyotaka,matokeo yake sare na kufungwa juu.

Sasa mnataka kuhamia kwa Rais mwenye mamlaka ya kikatiba kumpangia mawaziri ,

Mshindwe na mlegee.
Mungu ibariki Tanzania
 
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.

Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.

Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kimeii..?????? ptuuuuuuuuhhhhhh ptuuuuhh
 
Kwabahati mbaya nchi haijui hadi leo kwanini hatuendelei...ni kwa sababu ya kutowashirukisha lile kabila nguli wa uchumi kwenye uongozi wa nchi, bonge la mistake!
 
Upuuzi mtupu! Huyo Kimei alishindwa nini kuendelea kukaa CRDB hadi aje kwenye million 13 za kila mwez kwa kugonga meza na kusema ndio bila hata tija yoyote ?

Alishindwa nini kumshauri jiwe kutokana na sera mbovu za ukusanyaji kodi na ukwapuaji wa pesa za watu kwenye account bila utaratibu?

Alishindwa nini kumshauri jiwe kutojenga branch ya CRDB kubwa huko chato vijijini ambapo hakuna mtu mwenye akili timamu ataamini mzunguko wa pesa ni wa juu
 
Back
Top Bottom