Columbus for the 4th of July - R U Coming?

Mayor huyu wa ATL I hope sio mfupi kama Mayor mwenzie aka JD....
Hivi NN, Chandon bado ipo?
 
Mayor huyu wa ATL I hope sio mfupi kama Mayor mwenzie aka JD....
Hivi NN, Chandon bado ipo?

Hahahaaa....yeah...JD is short but his money is taller than Shaq.....
But this Mayor right here....is no man of "miniature proportions"....
 
duh! naona mods mmeniamulia kisawa sawa

sasa kulikuwa na ubaya gani na ile picha ya passport ya US?

anyway mod ninayemzungumzia anajijua

In my opinion it was kinda "ghay" kuondoa picha ya US passport bila sababu
 
ah.. bwana madongo ya JF utayaweza unaweza kupigwa dongo huku unalikodolea hivi hivi... halafu usijue umepigwa dongo.. so ni katika kujihami tu.
 
Duu...hii bash is what I have been waiting for.....yaani kwenye website kuna mawe sio mchezo..kama jamaa watafanya kweli this will truly be party of century! jamaa zangu kibao kutoka Europe wanatia timu....
 
Round two ya Pambano la FMES na Kuhani Mkuu kabla ya kwenda kuruka majoka... Nitakuwa na kibarakashia!
 
Heheheee....Ni katika yale mambo ya kukumbuka Maiko Jakson njoo....sitakiii...kama hutaki nenda. Mzee wa Kivillage...count me in ndani ya kibanda....nakuja huko....na nina ombi moja mkuu MKJJ...Kama itawezekana tualikie Mzee Denis Kucinich, back yard yake hiyo!
 
Yaani wala hujakosea kabisa....songi la michael jackson was the hit you know...
 
Yap! Maneno Columbus naona kuna jamaa kibao toka UK wanaingia... Jesse na mshikaji wangu wa frontline pale Mbowe Mr. Pai -Pailonga hivi sasa ana duka lake east London tembelea hapa http://www.shakoorfashion.co.uk/ watakuwa ndani...
Kisha la mgambo la mgambo Michuziline atakuwepo pia..
 
Nyie semenni tu.... wale ambao wanataka tuonane "off broadway" sijaona... wanaotaka tukutane kwamsosi or something ni PM.. nina nafasi kwa watu wasiozidi 20 tu...
 
Nyie semenni tu.... wale ambao wanataka tuonane "off broadway" sijaona... wanaotaka tukutane kwamsosi or something ni PM.. nina nafasi kwa watu wasiozidi 20 tu...

Mwanakijiji,

Hizo chansi ni za wageni au sisi wenyeji twaweza kudandia mkuu?
Msosi kwa wasomali ama kuna mwenzetu anaandaa kaji mama ntilie fulani... siku nyingi wengine wetu hatujala mihogo ya nazi eti!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom