Colman Massawe mmiliki wa Skol Building Contractors afariki dunia kwa ajali ya gari Bagamoyo

Mtoa mada kuwa makini katika kutoa habari za vifo na misiba.
Colman ni mtoto wa Vincent Massawe.

Vincent Massawe ni mmiliki wa kampuni ya SKOL BUILDING CONTRACTORS.
Asante kwa ufafanuzi

Del Monte ni kampuni tofauti kabisa.

RIP Colman Massawe.
Asante kwa ufafanuzi
 
View attachment 573405
Colman Massawe amefariki dunia kwa ajali mbaya ya Gari iliyotokea kwenye Barabara kuu ya Bagamoyo Msata.

Ajali iliyohusisha Fuso na Gari ndogo. Colman Alikuwa kada wa CCM na mwaka 2015 alichukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe lakini kura hazikutosha.
Huyu so ndiye rais was Dar alisimamisha kampuni yake Skol isipewe kandarasi tens au?
 
Mtoa mada kuwa makini katika kutoa habari za vifo na misiba.
Colman ni mtoto wa Vincent Massawe.

Vincent Massawe ni mmiliki wa kampuni ya SKOL BUILDING CONTRACTORS.

Del Monte ni kampuni tofauti kabisa.

RIP Colman Massawe.
Kwa hiyo aliyefariki ni nani hapo? Colman au Mzee Vicent?
 
RIP

Mwenye picha yake tafadhali
IMG-20170823-WA0054.jpg
 
View attachment 573405
Colman Massawe amefariki dunia kwa ajali mbaya ya Gari iliyotokea kwenye Barabara kuu ya Bagamoyo Msata.

Ajali iliyohusisha Fuso na Gari ndogo. Colman Alikuwa kada wa CCM na mwaka 2015 alichukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe lakini kura hazikutosha.

Wakati Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amefanya Mkutano wake Jumamosi iliyopita nilimsikia akiwalaumu mno Watendaji wa Manispaa na Halmashauri za Jiji kwa kuwalea vibaya na kupokea rushwa kwa ' Contractors ' akina SKOL na Del Monte.

Anyways R.I.P. sana Marehemu Colman Massawe Mr. SKOL.
 
huyu bila shaka alikuwa ni mnufaika mkubwa wa utawala wa JK.....kampuni yake ilipata kandarasi nyingi sana.RIP massawe.
 
Back
Top Bottom