College or school drop outs entrepreneurs

CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Messages
225
Likes
54
Points
45
CONSULT

CONSULT

JF-Expert Member
Joined May 8, 2011
225 54 45
COLLEGE OR SCHOOL DROP OUTS ENTREPRENEURS

Kumejitokeza debate mbalimbali kuwa wajasliamali wengi walio wazuri hawamalizi masomo yao, hii kwangu mm naona yaweza potosha jamii, ni kweli wapo wengi walio drop out lakini vilevile wengi zaidi wapo walio hitimu masomo yao na kufaulu kuwa wajasiliamari na zipo sababu pamoja na hizi chache;
Ndg zangu naomba niwaeleweshe hili College/school Drop outs!,,, Kusoma /biashara ni namna za kuhangaikia maisha, unapoanza tangu mapema aidha tangu primary schools inategemea kama wakati wote mawazo yako yanalenga(targeted objective) namna ya kuboresha maisha yako/kipato tambua kuwa wakati wowote ktk safari yako unaweza kukutana na njia iliyo bora kulingana na mazingira yaliyopo yanayokuzunguka ili kufikia hilo lengo lako mapema,aidha a good and viable Idea or business yaweza pelekea mhusika akaamua ku-drop au ku-disco… kwani mshika mbili moja humponyoka…. Hii ni tofauti kabisa na wale wenye malengo ya kupata elimu kamili /certification kwani lengo ni lazima amalize masomo aidha ili apate ajira, status n.k . Vyote havijali kabisa uwezo wako wa akili/uzembe/discipline n.k..
Second; kama wewe lengo ni kipato/entrepreneurship/kujiajiri lakini kwa muda wako wote wa masomo hujawahi/hukuwahi kupata deal or viable Idea hadi unamaliza MBA yako haina maana KABISA kuwa wewe sio Entrepreneur mzuri.. Ni sawa kabisa wako watu wanaajiriwa wakiwa bado viuoni mwaka wa mwisho, na wengine wanatafuta kazi hata 4yrs after his graduation may be with 3.6 GPA…..
Third:. Kwa hao role models kama Bill Gate,warrern baffet, n.k wakati mwingine unakuta wakati anaingia chuoni tayari anamalengo ya kazi/biashara specific ya kufanya hivyo anajuwa kabisa courses atakazo hitaji na akishazipata anaondoka kwani college programs zinaandaliwa in general hana haja ya kupoteza muda na kilichomleta tayari amepata…
Forth: Je kwa hao role models una uhakika gani kuwa hakujiendeleza/hajiendelezi kielimu baada ya hapo ? ? kwani nini maana ya elimu ?? Mimi nadhani ni kupata knowledge kwa namna yeyote ile ili kufanikisha malengo yako Na SIO ni kuhesabu madarasa na kushuhudia graduation !!??
Mara nyingi watu kama hawa wana elimu kubwa sana na (relevant,real and effective education) kuliko hiyo ya kuhesabiwa miaka na madarasa au certificates mfano mm nimeshuhudia mtu hajamaliza hata “O”Level lakina ana-apply university techniques kama vile NPV,IRR,PBP etc.. for Investment analysis/appraisal,
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,212
Likes
101
Points
160
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,212 101 160
COLLEGE OR SCHOOL DROP OUTS ENTREPRENEURS

Kumejitokeza debate mbalimbali kuwa wajasliamali wengi walio wazuri hawamalizi masomo yao, hii kwangu mm naona yaweza potosha jamii, ni kweli wapo wengi walio drop out lakini vilevile wengi zaidi wapo walio hitimu masomo yao na kufaulu kuwa wajasiliamari na zipo sababu pamoja na hizi chache;
Ndg zangu naomba niwaeleweshe hili College/school Drop outs!,,, Kusoma /biashara ni namna za kuhangaikia maisha, unapoanza tangu mapema aidha tangu primary schools inategemea kama wakati wote mawazo yako yanalenga(targeted objective) namna ya kuboresha maisha yako/kipato tambua kuwa wakati wowote ktk safari yako unaweza kukutana na njia iliyo bora kulingana na mazingira yaliyopo yanayokuzunguka ili kufikia hilo lengo lako mapema,aidha a good and viable Idea or business yaweza pelekea mhusika akaamua ku-drop au ku-disco… kwani mshika mbili moja humponyoka…. Hii ni tofauti kabisa na wale wenye malengo ya kupata elimu kamili /certification kwani lengo ni lazima amalize masomo aidha ili apate ajira, status n.k . Vyote havijali kabisa uwezo wako wa akili/uzembe/discipline n.k..
Second; kama wewe lengo ni kipato/entrepreneurship/kujiajiri lakini kwa muda wako wote wa masomo hujawahi/hukuwahi kupata deal or viable Idea hadi unamaliza MBA yako haina maana KABISA kuwa wewe sio Entrepreneur mzuri.. Ni sawa kabisa wako watu wanaajiriwa wakiwa bado viuoni mwaka wa mwisho, na wengine wanatafuta kazi hata 4yrs after his graduation may be with 3.6 GPA…..
Third:. Kwa hao role models kama Bill Gate,warrern baffet, n.k wakati mwingine unakuta wakati anaingia chuoni tayari anamalengo ya kazi/biashara specific ya kufanya hivyo anajuwa kabisa courses atakazo hitaji na akishazipata anaondoka kwani college programs zinaandaliwa in general hana haja ya kupoteza muda na kilichomleta tayari amepata…
Forth: Je kwa hao role models una uhakika gani kuwa hakujiendeleza/hajiendelezi kielimu baada ya hapo ? ? kwani nini maana ya elimu ?? Mimi nadhani ni kupata knowledge kwa namna yeyote ile ili kufanikisha malengo yako Na SIO ni kuhesabu madarasa na kushuhudia graduation !!??
Mara nyingi watu kama hawa wana elimu kubwa sana na (relevant,real and effective education) kuliko hiyo ya kuhesabiwa miaka na madarasa au certificates mfano mm nimeshuhudia mtu hajamaliza hata "O"Level lakina ana-apply university techniques kama vile NPV,IRR,PBP etc.. for Investment analysis/appraisal,
I agree with u kwamba elimu it is a means or a way ya kufanya tu mtu afanikiwe malengo yake, na pia ngoja nikueleze kwanini enterpreneurs wengi tunaowaona walikua ni college drop outs, si kwasababu walifeli, la hasha! ila kwasababu mambo mengi waliokua wanafundishwa asilimia kubwa walikua wameshayafahamu either kwa experience wakaona shule ni moja ya obstacles katika kufikia malengo yao kama zinawapotezea muda, kama bill gates vitu alivyokua anafundishwa first year karibu vyote alikuwa ameshavifanyia practice mwenyewe, likewise kwa ma enterpreneur wengine ambapo wengi wanapata experience kutoka kwa wazazi wao na kuona kwamba shule zilikua ni upotevu wa muda.
 
Forum statistics

Threads 1,237,376
Members 475,533
Posts 29,286,354