Collective responsibilty!!??

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
Tumuulize tu huyu Waziri Mwakyembe ni wakati gani alikuwa na Collective Responsibility ya kosa alilobaini yeye beyond reasonable doubt dhidi ya aliyekuwa waziri mkuu Mh. Edward Lowasa kwa kumtwisha Lowasa kosa bila kumhoji na bila ya kuiwajibisha serikali nzima on the very same premisses za Collective responsibility wakati ule?
 
Heshima Mkuu!

Hivi JD za viongozi wa kibongo unapimaje?.Kwa propaganda, Siasa uchwara au vipi?.Mwakyembe anacheza kamari na anaweza kufunga goli.

Nadhani karusha jiwe kwa upinzani ili ajue kama watamfunga paka kengele au la na si vinginevyo.Kama sivyo basi anatengeneza tatizo kisha atalitatua mwenyewe (The Prince-Machiaveli.
 
Back
Top Bottom