nilikuwa natafuta atakae reply hivi...then you did it...🤝When music was music yangu ni mashaalah chid Benz feat mzee yusuph
huu mlist ni madini tupu...kwann usidondoshe moja moja tukazipakua mkuu...but if possible...Hi 👋
Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana nyimbo nyingi hapa zitakua zimetengenezwa na wao.
PS: Sijapanga kwa mtirirko rasmi, so hakuna wakwanza wala wa mwisho.
- Prof Jay ft Ferooz _ Nikusaidieje
- Caz T ft Wagosi wa kaya _ Tuvumiliane
- Afande Sele ft Jay Mo &Prof J _ Mtazamo
- GK ft AY & FA _ Leo
- Ngwea ft Jay Mo _ Kimya Kimya
- Ngwea ft Chege _ Kiumeni
- Afande Sele ft Ditto _ Darubini
- Prof J ft Diamond _ Kipi sijasikia
- Berry Black ft Alikiba _ Niko radhi kujitoa roho
- Keisha ft Squeezer _ Uvumilivu
- Spack ft Chid Benz _ Laiti Ungejua
- Tundaman ft Chid Benz _Neila
- Ferooz ft Prof J _ Starehe
- K Sal ft Ferooz _ mkiwa
- Alikiba ft Bery black _ Nakshi Nakshi
- Abby Skilz ft Mr Blue _ Mimi nawewe
- Ally Com ft Mishi _ Selina
- At ft Stara Thomas _ Nipigie
- Prof J ft Lady Jaydee _ Niamini
- Abby Skillz ft Bob Junior _ Mpaka milele
- Jebby ft Afande Sele _ Swaiba
- Berry Black ft Sumalee _ Nataka unisamehe
- Juma nature ft Chameleon _ Mikiko mikiki
- Christian Bella ft Ommy Dimpoz _ Mama
- Darassa ft Lameck Ditto _ Weka ngoma
- Young Killer ft Stamina & Quick Rocker _ Jana na leo
- Gerry wa Rhymes ft Mwasiti _ I love you
- GK ft TID _ Tunakukumbuka (Tid aliua sana hapa daah)
- Bushoke ft Juliana _ Usiende mbali
- K Lyn ft Bushoke _ Nalia kwa Furaha
- Prof Jay Ft Juma Nature _ Zari la Mentali
- Kigwema ft Marlaw _ Sitomsahau
- Marlow ft Chid Benz _ Bado umenuna
- Matonya Ft Lady Jaydee_ Anitha
- Mb Dog ft Madee _ Latifa
- Mez B Ft RayC & Noorah _ Kaa vipi
- Mr II ft Mike T _ Je utanipenda
- Mwana FA ft GNako _ Mfalme
- Ngwea ft Mchizi Mox & Ferooz _ Mikasi
List itakua updated nikikumbuka nyimbo zingine. Je unaipa marks ngapi list yangu
Kama unataka wimbo unaweza kuomba, ninazo kaa 8000 song za zamani
Nataka kuwa na wewe tu na mwingine NajuaBerry Black& Berry white walitoa ngoma Kali siikumbuki jina..
Na mashaka na wewe HAKEEM 5 FT MR BLUE mwisho huuNaksh mrembo ally k ft akim five
Muziki unaongea hujataka kelele nyingi mkuu.
Huo wimbo wa Caz T Tuvumiliane na nakuhitaji nadhani ulitoka 2002 hua unanikumbusha kipondi tunachunga mifugo ya babu, kuna kondoo mmoja alikua ananipiga vichwa sana. Basi kila kikiusikia namkumbuka huyo kondooWhen music was music yangu ni mashaalah chid Benz feat mzee yusuph
Aisee Chid Benz alikuwa hatari hapo usisahauWhen music was music yangu ni mashaalah chid Benz feat mzee yusuph