Collaboration bora zaidi za bongo fleva

CalvinD

Senior Member
Feb 5, 2016
198
500
1) babuu wa kitaa ft mox & langa R.I.P- kimbia
2)Ngwair ft fid q- cnn
3)nature ft inspekta haroun - mzee wa busara
4) prof j ft jaydee- bongo dsm
5)Mwana fa ft kilimanjaro band & domo na mandojo- kama zamani
6) dully sykes ft mr blue & josline- dhahabu
7)mb dogg ft madee- latifa
8) chid benz ft mzee yusuph- mashallah
9)chegge ft qchillah - goodbye
10)king zilla ft marco chali- zilla
11)abby skills ft alikiba & mr blue- maria
12)akili the brain ft steve 2 k- regina
13)young killer ft fid q& belle 9
14)wasanii kibao- mchizi wangu rmx
15)daz baba ft ngwair- wife
16)rich mavoko ft pato ranking- moyo
17)country wizzyft fa-turn up
18)offside trick ft mzee yusuph- bata
19)TID ft jaymoe - girlfriend
20)ali kiba ft chid benz- far away
21)diamond ft omarion- african beauty
 

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Feb 10, 2019
1,938
2,000
Hi 👋
Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana nyimbo nyingi hapa zitakua zimetengenezwa na wao.

PS: Sijapanga kwa mtirirko rasmi, so hakuna wakwanza wala wa mwisho.

 • Prof Jay ft Ferooz _ Nikusaidieje
 • Caz T ft Wagosi wa kaya _ Tuvumiliane
 • Afande Sele ft Jay Mo &Prof J _ Mtazamo
 • GK ft AY & FA _ Leo
 • Ngwea ft Jay Mo _ Kimya Kimya
 • Ngwea ft Chege _ Kiumeni
 • Afande Sele ft Ditto _ Darubini
 • Prof J ft Diamond _ Kipi sijasikia
 • Berry Black ft Alikiba _ Niko radhi kujitoa roho
 • Keisha ft Squeezer _ Uvumilivu
 • Spack ft Chid Benz _ Laiti Ungejua
 • Tundaman ft Chid Benz _Neila
 • Ferooz ft Prof J _ Starehe
 • K Sal ft Ferooz _ mkiwa
 • Alikiba ft Bery black _ Nakshi Nakshi
 • Abby Skilz ft Mr Blue _ Mimi nawewe
 • Ally Com ft Mishi _ Selina
 • At ft Stara Thomas _ Nipigie
 • Prof J ft Lady Jaydee _ Niamini
 • Abby Skillz ft Bob Junior _ Mpaka milele
 • Jebby ft Afande Sele _ Swaiba
 • Berry Black ft Sumalee _ Nataka unisamehe
 • Juma nature ft Chameleon _ Mikiko mikiki
 • Christian Bella ft Ommy Dimpoz _ Mama
 • Darassa ft Lameck Ditto _ Weka ngoma
 • Young Killer ft Stamina & Quick Rocker _ Jana na leo
 • Gerry wa Rhymes ft Mwasiti _ I love you
 • GK ft TID _ Tunakukumbuka (Tid aliua sana hapa daah)
 • Bushoke ft Juliana _ Usiende mbali
 • K Lyn ft Bushoke _ Nalia kwa Furaha
 • Prof Jay Ft Juma Nature _ Zari la Mentali
 • Kigwema ft Marlaw _ Sitomsahau
 • Marlow ft Chid Benz _ Bado umenuna
 • Matonya Ft Lady Jaydee_ Anitha
 • Mb Dog ft Madee _ Latifa
 • Mez B Ft RayC & Noorah _ Kaa vipi
 • Mr II ft Mike T _ Je utanipenda
 • Mwana FA ft GNako _ Mfalme
 • Ngwea ft Mchizi Mox & Ferooz _ Mikasi

List itakua updated nikikumbuka nyimbo zingine. Je unaipa marks ngapi list yangu

Kama unataka wimbo unaweza kuomba, ninazo kaa 8000 song za zamani
huu mlist ni madini tupu...kwann usidondoshe moja moja tukazipakua mkuu...but if possible...
 

Dive

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
804
1,000
Kuna ule producer P Funk Majani wameimba Diamond Plutnumz, Marehemu Ngwair na Shaa beat ni kali na kila kitu
 

Tripple Jay

Senior Member
Jul 9, 2017
183
500
Presha-hafsa kazinja ft banana zoro
Nikipata wangu-,klyin ft jaymo
Mikasi-mangwea,mchiz mox na feruz
Kibanda cha simu-soggydog ft josephine
 

Dive

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
804
1,000
Barabara za Mwanza...... Ft Sarah Kipingu

Loon Bongo Loon, Nako Ft Ray C

Hawatuwezi Nako 2 Nako Soldiers Ft Enika

Tamara Hard Mard Ft Fetty

Fiesta
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,277
2,000
Nashindwa hata kuchagua
Ni nyingi mnoo
Ila usiusahau Mzee wa Busara remix - Nature X Inspt Haroon
Hawa jamaa kwenye ubora wao walikua hatari na mahasimu sana lakini waliweka pembeni tofauti zao wakaja na na hili singo
Lilisumbua sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom