COLLABO ZA MUZIKI WA BONGO FLAVA UNAZOZISUBIRI KWA HAMU

shebination

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
392
719
Habari wanajamvi. Nisiwe msemaji Sana niende moja kwa moja kwenye Mada. Naomba tushirikishane kutaja kolabo za wasanii wa muziki unaodhani mbele wakishirikiana kutoa kazi itashika Sana soko la mziki hapa bongo
MI naanza na hizi
1.diamond na alikiba
2.Aslay na Mbosso
3.Fid q na Joh makini
4.Ben Paul na diamond au kiba
5.Nandy na maua sama
Endelea.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom