Collabo ya Diamond Platnumz na Wizkid ipo njiani

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
3,415
2,042
Meneja wa msanii maarufu Afrika Mashariki Diamond Platnumz, Sallam aliohojiwa kama kuna nyimbo yeyote itatolewa karibuni.

Akasema kuna collabo ya diamond na wizkid ila hakutaja jina la wimbo. Na wimbo huo upo kwenye album yake [HASHTAG]#aboyfromtandale[/HASHTAG] ambayo pia kuna kolabo ya Rick Rose itakayotoka 1st December.

Hongera kwao
 
Alikiba ana Collable na Ivon Chakachaka. Toka Mwezi wa 4 mpaka leo hajaitoa.
Kuna Watu Mziki hawaufanyi serious kabisa. Halafu wanajiita King.
Hata wivu wa maendeleo kwa mwenzake hana.
Hata hajisikii vibaya kuona anaeshindanishwa nae ana macollable mengi ya kimataifa.

Nachoona Alikiba analazimishwa na mashabiki zake kufanya mziki lakini yeye anatamani hata kuhacha leo.
 
Nikweli kabisa, Kiba anatoa nyimbo baada ya mashabiki kulalamika
 
Back
Top Bottom