Collabo nyingine ndani ya WCB kati ya Diamond platnumz na Rich mavoko kufanyika hivi karibuni

TITO EMMANUEL

Member
Jun 20, 2016
5
45
Diamond-na-Rich-Mavoko.jpg


Kuna kila dalili ya kufanyika collabo nyingine ambayo haijawahi tokea ndani ya Crew ya WCB kati ya Boss wa label hiyo kubwa ya muziki hapa nchini na nje ya nchi, Nassib Abdul "DIAMOND PLATNUMZ" na Rich Mavoko ambaye ni moja kati ya wasanii wakubwa waliojiunga na label hiyo. Diamond platnumz ameshafanya kolabo na baadhi ya wasanii ndani ya label hiyo akiwemo Harmonize na wimbo wa " BADO" pia Raymond au Rayvanny na wimbo Salome uliotoka miezi michache iliyopita. Tusubiri na tuone itakavyokuwa.

USISAHAU KUTOA MAONI YAKO HAPA CHINI
 

mnyaga1

Senior Member
Sep 24, 2014
182
225
diamond wakat anahojiwa na lil ommy kwenye the playlist ya times fm alisema wimbo ujao wa mavocco atakua kamshirikisha diamond au msanii wa nigeria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom