Colin Powell: Donald Trump ni muongo nitampigia kura Joe Biden

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Colin Powell ni mwana-Republican aliyekuwa katibu mkuu, enzi za utawala wa George W. Bush. Amesema Donald Trump ni muongo hivyo atampigia kura mgombea wa Democrat, Joe Biden

Amefikia uamuzi huo baada ya Donald Trump kutishia kutumia jeshi kuwasambaratisha waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi baada ya George Floyd kufa mikononi mwa polisi hivi karibuni

Powell amesema, Donald Trump amekuwa akienda kinyume na katiba na amedanganya muda wote. Amesema hatua anazotaka kuchukua Donald Trump kipindi hiki zinaweza kuwagawa wamarekani badala ya kuwaunganisha

Powell amesema yupo karibu na Joe biden katika masuala ya kijamii na kisiasa, na amefanya naye kazi kwa miaka zaidi ya 35 na hivi sasa anagombea urais na atampigia kura

====

Republican Colin Powell, the former secretary of state under George W Bush, has called Donald Trump a liar and stated he will be voting for the Democrat presidential candidate Joe Biden.

His comments follow President Trump threatening to use the military against Americans protesting racism and police brutality following the killing of George Floyd in Minneapolis.

Mr Powell, a retired general and the first African-American secretary of state, told CNN that Republican Mr Trump had "drifted away" from the Constitution, and lied "all the time".

"We have a Constitution. And we have to follow that Constitution. And the president has drifted away from it," he said.

His comments echoed criticisms of the president made by the former defence secretary James Mattis who this week delivered a scathing assessment of Mr Trump, accusing him of dividing the country and "abusing" his position of authority.

"Donald Trump is the first president in my lifetime who does not try to unite the American people - does not even pretend to try. Instead, he tries to divide us," Mr Mattis wrote in The Atlantic magazine.

Asked directly if he agreed with the criticisms of the president by the ex-defence secretary, Mr Powell said: "You have to agree with it.

"I mean, look at what he has done to divide us," he added.

"I agree with all of my former colleagues. I'm proud of what they're doing. I'm proud that they were willing to take the risk of speaking honesty and speaking truth to those who are not speaking truth."

Truth was in short supply with President Trump, Mr Powell added.

"The one word I have to use with respect to what he's been doing for the last several years is the word I would never have used before, never would have used with any of the four presidents I worked for, he lies," said Mr Powell.

"He lies about things. And he gets away with it because people will not hold him accountable."

Mr Powell said he had not voted for the Republican candidate in 2016, and would instead be voting for Mr Biden in November's election.

"I'm very close to Joe Biden on a social matter and on a political matter. I worked with him for 35, 40 years, and he is now the candidate and I will be voting for him," he told CNN.

SKYNEWS
 
Huyu Colin Powell alisimama pale UN na kuiaminisha Dunia kua Saddam Hussein ana silaha za WMD na mpaka leo hizo silaha hazikuonekana licha ya Iraq kuvamiwa na maelfu ya watu kuuawa na uharibifu mkubwa kufanyika,

Yeye hapo alisema ukweli? hakua muongo?
 
Mwisho wa siku kila mtu ana maslahi yake,

Kutegemea ukweli kutoka kwa mwanasiasa, ni kutafuta bikra ktk wodi ya wazazi
 
Huyu Colin Powell alisimama pale UN na kuiaminisha Dunia kua Saddam Hussein ana silaha za WMD na mpaka leo hizo silaha hazikuonekana licha ya Iraq kuvamiwa na maelfu ya watu kuuawa na uharibifu mkubwa kufanyika,

Yeye hapo alisema ukweli? hakua muongo?
Ndio maana katika ujinga wasiasa za US hua siungi mkono dem wala rep wote lao moja

Ila ndio SIHASA(sijakosea) zilivyo DUNIA nzima unafiq tu
 
Huyu Colin Powell alisimama pale UN na kuiaminisha Dunia kua Saddam Hussein ana silaha za WMD na mpaka leo hizo silaha hazikuonekana licha ya Iraq kuvamiwa na maelfu ya watu kuuawa na uharibifu mkubwa kufanyika,

Yeye hapo alisema ukweli? hakua muongo?
Ndio maana aliachia ngazi kuwa alichoaminishwa sicho, hivyo jamaa ni msafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Colin Powell alisimama pale UN na kuiaminisha Dunia kua Saddam Hussein ana silaha za WMD na mpaka leo hizo silaha hazikuonekana licha ya Iraq kuvamiwa na maelfu ya watu kuuawa na uharibifu mkubwa kufanyika,

Yeye hapo alisema ukweli? hakua muongo?
Uko sahihi, huyo Collin Powell naye pia ni muongo tu.
 
Colin Powell ni mwana-Republican aliyekuwa katibu mkuu, enzi za utawala wa George W. Bush. Amesema Donald Trump ni muongo hivyo atampigia kura mgombea wa Democrat, Joe Biden

Amefikia uamuzi huo baada ya Donald Trump kutishia kutumia jeshi kuwasambaratisha waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi baada ya George Floyd kufa mikononi mwa polisi hivi karibuni

Powell amesema, Donald Trump amekuwa akienda kinyume na katiba na amedanganya muda wote. Amesema hatua anazotaka kuchukua Donald Trump kipindi hiki zinaweza kuwagawa wamarekani badala ya kuwaunganisha

Powell amesema yupo karibu na Joe biden katika masuala ya kijamii na kisiasa, na amefanya naye kazi kwa miaka zaidi ya 35 na hivi sasa anagombea urais na atampigia kura
Safi kabisa. Hii ndiyo demokrasia makini na thabiti. Unamchana mtu live na kura humpi. Hongera General Collin Powell. Kwa tunaokufahamu vizuri hatushangai. You are a true Republican. Huna tofauti na kina McCain, Nikki Healy na hata Robert Gates.
Viongozi aina ya Trump ni janga na hawafai kabisa kukaa pale oval office. (Achana na kupewa status ya Potus). Nilitamani Senator Mitt Romney agombee kupitia Republican mwaka huu lakini keshajitoa mapema. Hongera sana tena
 
Aje atuambie je Iraq kuna silaha za maangamizi? Bado hajatuambia.

Dingi hovyo sana yule. Trump anasema asingekua yeye ile nchi isingeingia kwenye vita ya gharama namna ile mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom