TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Only time will tell.
That I agree, although it has already done so time and again, sir.
What is going on now is just a repetition of the medical mafia who never tire of lying to the unsuspecting masses.
AIDS was one of their lies.
H1N1 was another of their lies.
Ebola was yet another of the lies.

They create diseases, pump in fear, pass legislations and sell drugs to kill rather than heal.
Poor souls around the world don't know what is going on.
 
Hahaha... ndgyangu, toba ni kati ya mja na Muumba wake tu!!
Since alisababisha au kuamrisha au kushiriki ktk mauaji au kuangamiza umati...basi ana kesi na lazima awajibishwe yeye na kundi lake genge la mauaji binaadamu wasio na hatia ya kikatiliii.
Hujajibu swali langu umetoa maelezo marefu tu,.Nimeuliza uliposema ataenda jehanam ya moto,Je kama alishatubu madhambi yake kabla hajakata roho?...Uko jehaman ataenda kutafuta nini?..Au mungu huwa ansamehi mtu akitubu..
 
Hujajibu swali langu umetoa maelezo marefu tu,.Nimeuliza uliposema ataenda jehanam ya moto,Je kama alishatubu madhambi yake kabla hajakata roho?...Uko jehaman ataenda kutafuta nini?..Au mungu huwa ansamehi mtu akitubu..
Sir Chifu!! Acha mkuu....
Mie siyo wa kuhukumu..mie sina mamlaka ya kuingiza mtu motoni au peponi..!!
Huyo ndgyako alìua na akavuruga Amani !!!
Hicho ndicho kitakacho msimamisha kizimbani. (Kosa la mauaji halisamehewi kwa toba au kutubu)
Kutubu au toba siyo kigezo ktk mauaji.( dhambi kuu) !!!!
Ataipata alichokitenda..
 
Marekani kukosa miamba mingine kama hii ndio imesababisha vitaifa kama Iran and Korea Kaskazini kuota sharubu. Hawa ndio walifanikisha vipigo vya mbwa koko.
Ushaamka huko usingizini!!?
Kwan Miradi ya nyuklia ya IRAN na KOREA imeanza wakat wa utawala wa OBAMA BIDEN na TRUMPET!?
Mkiambiwa US hawez kuivamia IRAN wala KOREA NORTH miwe munaelewa
Wakat hao mbwa powell wanatoa wrong info kuhusu IRAQ IRAN ilikuepo pale pale nahawakuwahi kurusha hata jiwe wakasema bahati mbaya
Wakat hao umbwa powell na bush mkubwa wanamtoa SADAM kule KUWAIT walikuwepo hao wapuuzi mnao wasifia nahawakuwaza kuipiga IRAN tukiwaambia IRAN sio IRAQ muwe mnaelewa
Kwahio maadam kina umbwa POWELL walishindwa kuzivamia IRAN na KOREA NORTH sidhanii kama wataweza hawa kina BIDEN nawajinga wenzao
Kama kachemka mlokua mwamuona mbabe NETANYAHU nani anaweza akaweza unavyodhania
 
Ww kichwa mbumbumbu kwani N.Korea Iran hazikuwepo na tawala zao kipindi yupo hai, kashavuna alichopanda kmamake aende akaongopee na huko
Inashangaza sana asee utadhani IRAN na KOREA NORTH zimezaliwa baada ya kifo cha huyo jibwa
 
North Korea na Iran walikuwepo ila walikuwa na heshma. Leo Iran anashambulia kambi za Marekani afu hakuna hatua zinachukuliwa, kuishambulia Marekani ilikuwa criminal, majibu yake lazima yawe fire and thunder.
Eeeh kwasababu walikua hawana heshma ndio maana wakashambuliwa
Kipindi hicho chahao umbwa powell ulisikia mwanajeshi wa IRAN kauwawa na hao UMBWA nakama wangejaribu kwakua wao walikua madhaifu zaidi tusingepiga kambi zao pale middle east tungepiga kambi zao zilizopo ndani ya DC washington nk
Umbwa hao
 
Naam alipendwa na kuheshimika sana na Wamarekani wengi na katika nchi nyingi duniani.
'Iraq war hawk'...mmoja wa wanasiasa waliopigia chapuo/kuunga mkono uvamizi wa Marekani huko Iraq.
 
Back
Top Bottom