BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
- Thread starter
- #21
Moja ya makosa makubwa sana aliyoyafanya katika uhai wake ilikuwa ni kukubali kusema uongo wa kuivamia Iraq na kusababisha vita iliyoigharimu Marekani trillions chungu nzima.
Atakumbukwa kwa mchango wake wa kuivamia Iraq based on faulty information - Operation Desert Storm. (1991)