Coke!

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,037
16,031
coke.JPG
Kwenye msafara wa mamba na ......
 
hahahahahhaha na kweli itakua duka la mchagga.

watu wa pepsi haoo..huku kanda ya ziwa kwenye promo ya Msisimko walianzisha propaganda kuwa coke ya kwenye chupa mpya inaleta magonjwa,presha..wakati maji yaliyokuwa yakitiwa kwenye chupa za zamani na hizo za msisimko hayakuwa tofauti..
 
Label zinawekwa kwa Computer programed machine,hiyo itakuwa Photo Shop tu.
Wakati wa kuweka lebo,vifuniko za kinywaji husika,ni mtu ndiye anayeweka vifaa hivyo kwenye sehemu husika.Kama unazalisha coke,lakini ukaweka lebo za fanta,kompyuta itaweka tu hizo lebo.Hii inatokea kwenye bidhaa nyingi tu.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom