Coke studio africa - Vijana wa Tanzania wanaua bila huruma

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
21,438
65,107
Tanzania kumekucha, jogoo limewika, hakuna wa kutuzuia, moto umewaka.
Nimekuwa nikifuatili coke studio 2019 nimegundu vijana wa TZ wanaburudisha ile mbaya. Huku hii ni hatua kubwa sana maana moto umewaka.

Kuna baadhi ya shows utashangaa ubunifu wa hali ya juu wa vijana hawa.
Rayvan


Harmonize


Wanawake zaidi ya watatu wimbo wa afrikaProducer Lizer
 
Back
Top Bottom