Coiling Dragon Cliff: Daraja la utalii China linalohitaji ujasiri kulipita

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Cliff.jpg
Daraja la China eneo la kupita kwa miguu lililo juu ya mlima lililojengwa kwa vioo kando ya mlima kusini mwa nchi hiyo ambalo limekuwa kivutio cha watalii wenye roho ngumu kupita eneo hilo.


images-4.jpeg

Daraja hilo la mzunguko kando ya mlima liitwalo 'Coiling Dragon Cliff', linapatikana kwenye Mlima Tianmen katika Mbuga ya Taifa ya Tianmenshan huko Zhangjiajie.

images-5.jpeg

Wengi kushindwa kutembea​

Watalii na wakazi kuburudika na madhari hiyo ya daraja la urefu wa kutoka chini wa futi 4,600, urefu wa kutembea wa futi 330 na upana wa futi 5, ambalo humpa mtalii fursa nzuri ya kutazama.
images.jpeg


Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa kutokana na madaraja hayo ya vioo nchini China,kuna baadhi ya maeneo ukitembea linatoa alama na mlio wa kupasuka(fake) hapo wengi wanapoangaika kudhani linavunjika kweli 😂😂

images-8.jpeg

Kioo kuvunjika kwa uwongo unapokigusa

images-9.jpeg
Hakika huu ni utalii usioitaji mali kale wala mbuga za wanyama na Tanzania tunaweza.
" kupanga ni kuchagua"
 
Back
Top Bottom