Code za kutumia

tyuk

Member
Sep 13, 2021
57
59
Wanajamvi kuna kipindi niliona thread ya code za kuweka kwenye simu ili usipatikane kwa muda,naomba mwenye kuzijuwa hizo code au aniunganishe kwenye thread husika.
 
Zima simu yako hutopatikana kwa Muda unaotaka ww,kwannii kujihangaisha na Mambo madogomadogo ?
 
Kwa tigo na airtel *21*0754125125#
Kujiondoa ##002#ok

Anayekupigia ataambiwa namba haipatikani, ila wewe utaipata msg namba iliyokupigia.

Kublock sms ya aina yoyote ile isiingie
*35*0000*16#
Ku-unblock anza na #
 
Mkuuu sasa ukipiga *21*Namba#
Hapo unachokifanya unafoward simu zako zote kwenye iyo namba ulioiweka hapoo juu. Hiyo code inaaply kwenye line zote, hapo cha msingi inatakiwa upige *21*then weka namba zako nne za mwanzo usiweke no nzima coz call zitakuwa forwarded kwenye hiyo no ulioweka#
 
namba zako nne kwa kuanza na code za mtandao husika au, mfano kama namba yako ni 0754125125125125 utaweka 0754 au 07541251?
 
namba zako nne kwa kuanza na code za mtandao husika au, mfano kama namba yako ni 0754125125125125 utaweka 0754 au 07541251?
Nimeweka hiyo namba coz haipatikani.
Mfano mimi huwa naweka 21 +25515524#
 
Back
Top Bottom