Code za Kulock laini isipatikane hewani

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu naomba mnisaidie code za kulock simu au laini, ili isiweze patikana hewani, Lakini niweze kufanya access za internet na kutuma msg kama kawaida.

Pia mnisaidie na code za kufungua hiyo laini pale nitakapohitaji.
 
Njia rahisi kma simu yako ina 4G na line yako ni ya 4G ni kichagua option ya 4G Only kwenye Network settings. Hii ita block calls zote lakini msg na internet zitafanya kazi. Hii ni kma eneo lako 4G inashika pia
 
Kama sijakuelewa vizur hivi sheikhe ,mie kwangu huja ikiwa imeandikwa lte so nikiweka weka tu hapo kama preffered network type nimemaliza au
 
Kama sijakuelewa vizur hivi sheikhe ,mie kwangu huja ikiwa imeandikwa lte so nikiweka weka tu hapo kama preffered network type nimemaliza au
Kwa simu zinazoandika "Preferred" na hazina option ya 4G only unaweza kuipata kwa kuandika ##4636## kwenye Phone dialer kisha chagua Phone Information. Hapo utaweza kuweka 4G only
Screenshot_20210604-124514.jpg
 
Back
Top Bottom