Code +259 ni ya nchi gani?

core22

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,954
17,813
Wapendwa wajumbe wa JamiiForums, hii code number ni ya nchi ipi duniani?
 
Screenshot_20210608-081005_Samsung Internet.jpg
 
Wapendwa wajumbe wa JamiiForums ,Hi code number ni ya Nchi ipi duniani?
Hahaaa hio ni ya Zanzibar ila haikuwa implemented nazani, ni Code number ya Zanzibar sema kwa sababu kuna 255 ya Tanzania ikabidi na wao watumie hio hio ya 255.
 
Zanzibar code. Umeshindwa hata kuuliza google!
Kweli tokea simu janja kuingia na internet kufika vilaza wamekuwa wengi sana maana kusoma vitabu shida,basi kuuliza maswali google ndio kabisa!
 
Hahaaa hio ni ya Zanzibar ila haikuwa implemented nazani, ni Code number ya Zanzibar sema kwa sababu kuna 255 ya Tanzania ikabidi na wao watumie hio hio ya 255.
hapo naona kuna fitina za CCM kwa zanzibar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom