Coconut Meat Curry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coconut Meat Curry

Discussion in 'JF Chef' started by X-PASTER, Jul 24, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Coconut Meat Curry

  1. Nyama ............................... ½ Kg
  2. Curry Powder ............................... 2tsp
  3. Ndimu ............................... 2
  4. Grated Ginger ............................... 2
  5. Mafuta ............................... 3tbsp
  6. Vitunguu Maji ............................... 2 Big (Ungraded)
  7. Pili Pili Boga ............................... 3 Big
  8. Pili Pili Nzima ............................... 3
  9. Nazi Ya Kopo ............................... 1/4Ltr
  10. Thomu, Tangawizi, Chumvi, Pili Pili Manga
  Method:

  1. Tia vitu vyote kwenye nyama isipokuwa mafuta na pili pili boga na nazi.
  2. Teleka nyama kwenye moto mpaka iwive sawa sawa usitie maji hata kidogo ikiwa imewiva tia mafuta na pili pili boga ulizozikata kwa urefu nyembamba tia na pili pili za kuwashwa acha viwive tena kidogo, kasha tia nazi yako, hiwache ichemke mpaka nazi hiwe imewiva, ipuwa weka kwenye bakuli kwa kuliwa.
   
Loading...