cocastic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cocastic

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Castle, Nov 8, 2008.

 1. Castle

  Castle Member

  #1
  Nov 8, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kuna jamaa mmoja aliagiza soda aina ya fanta, baada ya kumaliza akasema fantastic, akiashiria kuridhika na kile kinywaji.
  jamaa mwingine aliyekuwa karibu na jamaa huyo alikuwa akinywa soda aina ya coca cola, kwakutokujua kwanini yule jamaa wa kwanza alisema fantastic, yeye baada ya kumaliza akasema cocastic. akalipia soda na kuingia mitini.
  weekend njema.
   
Loading...