Cocacola wamnunulia gari jipya diamond

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,989
2,104




Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola.
16859d0ccbab11e29f3f22000a1f978e_7.jpg

Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya na wadhamini wake kampuni ya vichwaji ya Cocacola.


"Ya all ready know what it's….. tukutane Fuel station!! #CocaCola Mumetishaaaaaa," aliandika jana kwenye picha ya Instagram ya gari hilo likiwa na maganda yake.

"Chatin infront of my Small baby… on Channeloafrica interview at my clib," aliongeza.


Siku nzima ya jana, hitmaker huyo wa Kesho alikuwa busy kwenye interview na kituo cha runinga cha Channel O.

af471706cb8211e2896422000a1fb003_7.jpg



Naona Dogo anakula mema tu ya duniani!ni wakati wake,wapi wema?!congrts
 
Dah! Dogo anakula maisha tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tulipumzika kidogo stori za huyu jamaa humu kutokana na story za bifu ya Jide vs Clouds na kifo cha Ngwea,naona kero inaanza kurudi
 
hivi huyu kijana ni yule ambae juzi kati mlituambia kwene a/c yake ana more than 1b?. ! leo kanunuliwa!!!!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom