kwa sababu serikali haina vivutio kwenye uwekezaji ,kupata kibali , ni 10% kupata kiwanja 10 % ulipe kodi kabla ya kuazisha biashara TANZANIA KULIKONI
2700/= per litre. watanunua kilo 1ya matunda kwa bei gani? hapa utakuta wananunua kg 1 kwa sh 1200 halafu hiyo kg 1 inaenda kutengeneza 3 litres ya juice
nadhani sasa hivi utakuwa umejua kwa nini wawekezaji wengi walikuwa wanaenda Kenya, kwa kifupi sisi tuna tatizo la sheria na usimamizi wa Sheria Kikwete alijaribu, lakini sasa hivi.............mnajua wenyewe, kawaulize issue ya sukari ya viwandani wazalishaji, au ile issue ya sukari iuzwe mia nane ilikuwaje teh teh,Upumbavu tu kwa nini wasiweke hiyo plant ya kuprocess matunda hapa bongo? Kwa nini matunda yanunuliwe Tanga yaende Nairobi the yarudi bongo kwenye mabox?
2700/= per litre. watanunua kilo 1ya matunda kwa bei gani? hapa utakuta wananunua kg 1 kwa sh 1200 halafu hiyo kg 1 inaenda kutengeneza 3 litres ya juice