Coaster nyingine yaingia nyuma ya loli morogoro.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coaster nyingine yaingia nyuma ya loli morogoro..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ramson34, Mar 26, 2011.

 1. r

  ramson34 Senior Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ikiwa imepita kama wiki moja tangu wasanii kumi na tatu wa bendi ya taarabu kupoteza maisha katika ajali gari leo tena kuna habari toka morogoro kwamba kuna ajali kama hiyo hiyo imetokea morogoro mdau aliyenipigia simu anasema hali napo ni mbaya sana ingawa idadi ya waliokufa na waliojeruhiwa hajanitajia kwa kuwa wenyewe walisimama kwa dakika moja tu..anasema coaster hiyo kama ile ya wasanii imeingia nyuma ya lori..naomba kuwasilisha.
   
 2. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama kweli basi ni masikitiko makubwa......hii itakuwa ishara toshakuwa watu wanopewa leseni za udereva wa abiri hawana vigezo vya kutosha
   
 3. e

  emrema JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeiona nikitokea Tanga ni pale Vigwaza si Morogoro na imetokea jana usiku. watu 17 wameripotiwa kufa. Mwezi huuuuuuu???
   
 4. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu sio hiyo tu nyingine imetokea huko Ubena karibu na Chalinze Pwani,yaani hii hali sasa inakoelekea ni hatari wakuu .
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hii wiki inaisha na roho za watu, Ee Mungu tunusuru na hili. R.I.P All!
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Innalillah wainailaih rajiun, HII NI HATARI KUBWA. Usalama barabarani ulaumiwe, its too much jamani.
   
Loading...