Coaster mbili za kukodi kwa ajili ya kubeba wanafunzi zinahitajika

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,624
Coaster mbili kwa ajili yaa kukodisha kubeba wanafunzi zinahitajika route ni kinyerezi to kimanga asubuhi na jioni Yenye rangi ya njano itapewa kipaumbele zaidi na kama haina rangi ya njano inabidi ipigwe rangi ya njano kwa maelezo zaid call no 0656002003
 
Back
Top Bottom