cnn ya Ngwea

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,509
7,540
kila ninapoisikiliza hii track,melody aliyotumia msanii kweny bridge mara baada ya verse mbili za kwanza inanikumbusha kama melody ya wimbo fulani hivi wa msanii wa r'n'b wa nje.kuna ambaye ameshaligundua hili?
 
Hebu weka mashairi yote humu kwanza.

ukisoma mashairi huwezi kujua " melodi" au "tyuni" ya wimbo, kwani siku hizi kuna wasanii au waigizaji! ndy walivyo wanamziki wetu siyo wabunifu kabisa, anaimba wimbo wa mtu bila hata makubaliano naye, halafu anaclaim kwa nguvu zote kuwa nyimbo ni yake, wamekaa kiwiziwizi tu, lengo apate vijisenti vya kununua korolla. tena hizi mnaita BONGOFLEVA ndiyo wamezidi kukopi.
 
kila ninapoisikiliza hii track,melody aliyotumia msanii kweny bridge mara baada ya verse mbili za kwanza inanikumbusha kama melody ya wimbo fulani hivi wa msanii wa r'n'b wa nje.kuna ambaye ameshaligundua hili?

Jayjay ungeweka na huo wimbo ingekuwa bomba kichizi mwanangu.Au..?
 
kila ninapoisikiliza hii track,melody aliyotumia msanii kweny bridge mara baada ya verse mbili za kwanza inanikumbusha kama melody ya wimbo fulani hivi wa msanii wa r'n'b wa nje.kuna ambaye ameshaligundua hili?
Sasa hapa mimi sijakuelewa kama imekuvutia au ndio unataka tumponde bwana Ngwair?
 
kila ninapoisikiliza hii track,melody aliyotumia msanii kweny bridge mara baada ya verse mbili za kwanza inanikumbusha kama melody ya wimbo fulani hivi wa msanii wa r'n'b wa nje.kuna ambaye ameshaligundua hili?

wewe kama ni mtu wa kufuatilia muziki na mambomambo ya nnje atajua mapema tu..ngwea amechukua aidia ya shigate gwan kutoka kwenye blue movie moja ya Snoop dog(jina nimeisahau) amekopi kimya kimya kutoka nyimbo ya 50 na game hate it or love it,

unajua tatizo nn, wanaamini wabongo hawafuatilii mambo, kumbe watu wengine wako deep kwenye muziki japo hawavumi, so uwezekano wa kuwa amekopi ni mkubwa sana ,ntaisikiliza CNN..nikoment.poa.
 
kila ninapoisikiliza hii track,melody aliyotumia msanii kweny bridge mara baada ya verse mbili za kwanza inanikumbusha kama melody ya wimbo fulani hivi wa msanii wa r'n'b wa nje.kuna ambaye ameshaligundua hili?
Ungesema tu ni wimbo gani mkuu, japo hata kwa mtoni kuna kitu kinaitwa ku sample muziki. Kwa hiyo hata kama melodi zitafanana na wimbo mwingine na still ameingiza ubunifu wake hadi wimbo ukawa bomba hakuna shida kabisa. Wataalam wa muziki wanajua hakuna sauti mpya ya muziki ila ni maboresho ya sauti za zamani.Lakini mazee kama ulitaka ku hate tu endelea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom