TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Leo CNN, kabla hata ya uchaguzi wa primary wa California haujakamilika, wamemtangaza Hilary Clinton kuwa ndiye mgombea mteule wa chama cha democrats. Hii tabia wanayo hata ya kutangaza mshindi wa urais kabla ya watu wanene hawajafigisafigisa.
CCM nadhani wataungana na wapenda mizegwe wote duniani kupinga vikali kiherehere cha CNN, ambao mwishoni watafanya ionekane kana kwamba kupora Computer za UKAWA, au zile za asasi za kiraia, au zile za tume ya kutetea haki za binaadamu, na kupora ushindi wa CUF Zanzibar ilikuwa makosa!
Msemaji asiye rasmi wa CCM atawaasa CNN huo "Uhalifu wao" waishie nao huko huko, wasije wakaambukiza, "Demokrasia" kwa vyombo vya habari hasa magezeti ambayo mengi sasa ni "Cheerleaders"