CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

Mkuu

Kama hutojali unaweza kunifahamisha kwanini umeniita hili jina?
Hawa ni vijana wa Ccm waliunda group katika kipindi cha mwendazake wakisapoti maendeleo yake yaani MATAGA-MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
 
Kauli isiyopendeza na imenisononesha ni " She is pretending all along to international community" yaani kwa kishwahili cha tmk kiumeni ni kupiga kabobo bin magumashi.

We should correct that slight damage that has been plotted to tarnish or image.
 
Halafu hata haipendezi, Mwanamke eti unakuwa dictator! How comes?
Yaani cdm wafanye mambo ya hovyo na kudharau sheria zilizowekwa na kuwa na matamshi ya kutishia amani halafu vyombo vya ulinzi na usalama wamwangalie tu, hiyo haipo halafu huyo mnyaturu ameweka taaluma ya sheria pembeni na kupotosha kuhusu sheria mbalimbali za kwetu yaani amekuwa mwongo kupitiliza kwaajili ya kupamba siasa za chuki hata mimi ningekuwa kiongozi wa chombo kilichomtia nguvuni huyo jamaa ningehakikisha yeye na genge lake wanaheshimu sheria za nchi yaani kila upuuza atao ongea tayari nipo mlangoni kwake yaani mpaka anyooke magereza kungekuwa nyumbani kwake hatuwezi fuga ujinga namna hii mwisho wa siku itugharimu
 
Huyu mama hana lolote, she is a failure, total failure. Anajaribu kufuata nyayo za Magufuli na kweli atamfuata jumla.

Hii itakuwa nchi ya namna gani kama watu wengine wanafanywa kama wakimbizi kwenye nchi yao, na kama watu wakifanya mikutano yao yeye anapata tabu gani si aendelee basi kuujenga huo uchumi anaodai kutaka kuujenga na sijui umeharibiwa na nani.

We've enough of this repressive regime.
 
magu kila alivokuwa akihutubia alikuwa akiwasema mabeberu nikawa nasema huyu mzee nae na mabeberu kila siku kumbe alikuwa sawa ukiangalia Uganda apo kuna utumbo mwingi, angalia Rwanda, angalia Burundi ila wenyew wanaangalia Tanzania tu kwingine Hapana
 
Msisahau dunia nzima anakataa mikusanyiko kwa kujikinga na Corona. Je kukusanyika kwanza si kueneza Corona?
Dunia kwa sasa haizuii mikutano,ila inataka hata kukiwa na kusanyiko,basi kuwe na social distancing,ndio maana hata washabiki wanaruhusiwa kuingia
 
Yaani cdm wafanye mambo ya hovyo na kudharau sheria zilizowekwa na kuwa na matamshi ya kutishia amani halafu vyombo vya ulinzi na usalama wamwangalie tu, hiyo haipo halafu huyo mnyaturu ameweka taaluma ya sheria pembeni na kupotosha kuhusu sheria mbalimbali za kwetu yaani amekuwa mwongo kupitiliza kwaajili ya kupamba siasa za chuki hata mimi ningekuwa kiongozi wa chombo kilichomtia nguvuni huyo jamaa ningehakikisha yeye na genge lake wanaheshimu sheria za nchi yaani kila upuuza atao ongea tayari nipo mlangoni kwake yaani mpaka anyooke magereza kungekuwa nyumbani kwake hatuwezi fuga ujinga namna hii mwisho wa siku itugharimu
Kunywa maji kwanza mkuu, unaonekana una haraka sana
 
magu kila alivokuwa akihutubia alikuwa akiwasema mabeberu nikawa nasema huyu mzee nae na mabeberu kila siku kumbe alikuwa sawa ukiangalia Uganda apo kuna utumbo mwingi, angalia Rwanda, angalia Burundi ila wenyew wanaangalia Tanzania tu kwingine Hapana
Sawa MATAGA
 
Msisahau dunia nzima anakataa mikusanyiko kwa kujikinga na Corona. Je kukusanyika kwanza si kueneza Corona?
Mechi za mpira wa miguu hakuna mikusanyiko!!??
Kongamano na ibada ya kanisani au msikitini ni sawa na mkusanyiko wa viwanja vya soka!??
 
Back
Top Bottom