Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Under your insinuation!Jinsi Tanzania ilivyogeuka kuwa kituko na dharau kwa ulimwengu!
We are (officially) a laughing stock of the world in more than one way.
Under your insinuation!Jinsi Tanzania ilivyogeuka kuwa kituko na dharau kwa ulimwengu!
We are (officially) a laughing stock of the world in more than one way.
Wewe zako ulizokokotoa za kweli ni zipi. Naamini wewe si bora kuliko wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile report ni ya watoto wa form four ambao ndio wanajifunza kuandika. Alafu ukiitazama utagundua hata walicho kiandika hawakijui. Maana lugha imetumika ni English so wamecopy tu mahali.Tatizo lako nadhani ni miongoni mwa wale waliotumbuliwa kwa vyeti fake,ubadhilifu wa madaraka au hujui unachokiongea
1. Si kweli kwamba tume hazikuwa huru ,walichokitafiti ndicho walichokiwakilisha kwa watanzania
2. Huwezi kumuhukumu mwizi bila kuwa na uthibitisho wa alichokuibia na thamani ya kitu alichokuibia
3.Nyie kama pressure group la CHADEMA. kama hamna cha kuongea ni bora kukaa kimya watu wafanye kazi
KashafeliHivi upinzani mnafurahia sana serikali hii iki fall sio?? Kuna upuuzi mnaoushabikia km wendawazimu? Magu hatafell na nchi itasonga mbele,kwann mnatetea wezi
Sent using Jamii Forums mobile app
FIGURE?KWA HIYO ZA CNN YA WAZUNGU NO SAHIHI , ZA NDUGUYO WATANZANIA NO FAKE ?Kwahiyo cnn imepotosha kuwa hakuna kampuni ambayo imewahi lipa hyo kodi kwenye uchimbaji madini ila acacia ndio wanadaiwa nayo!!!!! Kwahyo cnn wamekataa hatujaibiwa au wamekataa hizo figures
Na nilijua tu yaani nchi yetu bhana ukikosoa tu inaonekana unatetea wezi.... yaani kisa tumeibiwa ndio tusihoji hizo digits!!!! Wwe unayeshabikia ushafanya utafiti binafsi ama whatever magufuli says is right!!!! Kuibiwa tumeibiwa shida yetu ni hizo figures basi sasa hayo ya kutetea wezi yanatoka wapi
1. Ripoti ya maprofesa inadai migodi mitatu inaingiza zaidi ya migo 20 ya kampuni kubwa ya duniani? Is that logical? Hizi namba hauwezi mtu kutaja tu. Mtu unaweza ku-assess production kapacity kwa kuangilia vitu fulani. Kwa mfano mtu mwenye dala moja hawezi kuwa na kipato cha mtu mwenye 10. Kwenye kila industry, experts can estimate. Kwa ripoti ya maprofesa ACACIA wakiliropiti revenue 1billion wana kuwa wanaficha 6 billion. Wanafichache ukiangalia logistical size and operations? Simple logic. ACACIa is a listed company. Wanaficha ili hela wampe nani wakati wenye kampuni ni public. Value ya ACACIA ni chini ya $3bil. Hisa za Barrcik ndani ya ACACIA ni chini ya $2 bil.
2. Wewe ukipata sehemu ina gold ukaanza biashara ya kuchimba, unafikiri hauta kuta madini mengine ndani ya huo mchanga. Chimba hata kwako leo upime uone. Haina maana kwamba extraction ya hayo madini ni '"commercially viable". We we utatoa kile ambacho value vs cost of extraction ni faida kwako.
3. Maprofesa sio lzima wawe wataalam. Ni Academicians. Naona hata industry trends hawazingatii kwenye ripoti. Wanafuata vitabu vyai vya shule tu. Utasemaje ACACIA haijasajiliwa wakati ACACIA ni rgistered brand name? Mbona kwenye biashara ni kitu cha kawaida? Ni kwa sababu wako vyoni hawako makazini. A simple background check would have answered that question. Wanatutia aibu kwa kweli
Kiongozi unachopinga hapa nini?Salary Slip at large. Yaani reference yako ni CNN? Kweli umekwisha. Rais wa nchi ambapo chombo hicho kiarusha matangazo yake alisema kinatoa fake news! Wewe unapata wapi uthubutu wa kuitumia kama chanzo sahihi cha habari za 'waporaji' wa rasilimali zetu?
Taifa hilo lina mambo ya ajabu sana kwa kweliProf Mruma na Wenzie wamemuingiza Chaka Magu
Lakini ukweli ni kuwa Magu anapewa anachotaka kukisikia, hivyo kila mtu anamlisha kasa na mwisho wa siku anaonekana ni kituko tu
Bashite anamlisha kasa
Sirro anamlisha kasa
Ndugai anamlisha kasa
Lipumba anamlisha kasa
Polepole anamlisha kasa
Kazi anayo mkuu wetu maana Serikali ilishasema kwenye Ripoti zake ya pili kuwa ACACIA ni Kampuni hewa, kwa maana haijasajiliwa, iweje TRA wawape notification ya kulipa kodi ilihali ni kampuni hewa?
Msimamo wa Magufuli umeiharibia Tanzania sifa kubwa sana kimataifa.
Mamburula wataandamana kushangilia ila wawekezaji watafunga breki kujiangalia upya nia yao ya kuwekeza Tanzania.
Hakuna bepari aliyekuibia mkuu, ni viongozi wako na sasa wanaitwa makaburi ambayo hatuwezi kuyafukuaKama wawekezaji wenyewe ndio hawa wezi, bora waende.Tunawajua hawa mabepali ni mabingwa wa propaganda, wanajaribu kutumia kila mbinu kwa gharama yoyote ili kujisafisha.Msimamo wa Jpm umepeleka msg kwa wengine.
Mamburura ni wale ambao wapo tayari kuona taifa likiendelea kuibiwa kwa kisingizio cha uwekezaji.hizi rasilimali zinagombewa kwa sasa ulimwenguni, we ukizira utapishana na mwenzako mlangoni.
Mama, penda kujadili hoja husika sio kuleta porojo porojo za Kipumbavu, Pesa ya hao Maaskofu iliishalipwa na Kanisa Katoliki! Na Askofu Mmoja kuhamisha kituo Cha Kazi! Hilo la Ngereja kurudisha si la kwanza bali anafuata nyayo na sio hao Maaskofu tu bali hata wengine wameisharudisha kimyakimya!Askofu Kilaini wa kanisa katoliki alipobanwa na waandishi wa habari kuhusu shillingi millioni 80.5 alizopokea kutoka kwa James Rugemalira (ambae kwa sasa yupo ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi) kupitia benki ya mkombozi, alinukuliwa na gazeti la mawio akijitetea kwa kusema “Michango inayoletwa kwangu haina siri, shikeni wezi halisi,” .
Askofu Eusebius Nzigirwa wa kanisa hilo hilo la kikatoliki iliandikwa na yeye alipata mgao wa shillingi 40.4 milioni kutoka kwa James Rugemalira na Padri Alphonce Twimanye Simon wa kanisa hilo hilo la kikatoliki alipata mgao wa shillingi 40.4 milioni.
“Hizo taarifa zimenishtua sana. Bado nashangaainakuwaje mimi naambiwa nimechota fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow,” hii ni nukuu ya maneno ya askofu Nzigirwa.
Chanzo: Askofu Kilaini na Nzigirwa wazungumzia tuhuma za Wizi wa Pesa za Escrow | MPEKUZI
Hoja ya kuleta hayo ni kwanza gazeti la mawio jinsi lilivyo nukuu kitaalam kuhusu Kilaini huku likijisahau kuwa ukikutwa na mali ya wizi na wewe mwizi.
Pili nauliza, hivi walilipia kodi hizo pesa au watumishi wa kanisa wapo exempted na kodi?
TRA hudai kodi kwa kupitia hesabu za tuhuma au hesabu halisi zilizokaguliwa (audited)?
Zinazowakabili wote niliowataja ni tuhuma nzito za uhujumu uchumi. Lakini cha kushangaza zote tunazifatilia kwa njia tofauti. Hatuna sheria na kanuni za kufatilia mambo haya kisheria?
TRA wangesubiri mazungumzo au arbitrations ziishe ndiyo waanzie hapo au kuna mbinu za negotiations zinatumika kwa manufaa ya Tanzania? Maana nionavyo wazungu wameanza kutupaka matope kwa manufaa yao.
Naamini "mtoto akikunyea huukati mkono" na mtoto hubaki kuwa ni wako tu.
Kwa wazungu kampuni hizo za madini zitabaki kuwa ni watoto zao kama ilivyo kwa maaskofu watabaki kuwa ni watoto wa kanisa katoliki. Hutoona tuhuma zikitokea kwao kuwa watoto wao wanafanya vibaya, kinyume chake tutaona kila mzazi, ndugu, jamaa na marafiki watawatetea watoto wao.
Nami nimtetee nani?
Hawa CNN huwa siwaamini na wala sipendi kusikia habari zao kama ITV Tanzania!!!
Isome post niliyoiandika mpaka mwisho.Mama, penda kujadili hoja husika sio kuleta porojo porojo za Kipumbavu, Pesa ya hao Maaskofu iliishalipwa na Kanisa Katoliki! Na Askofu Mmoja kuhamisha kituo Cha Kazi! Hilo la Ngereja kurudisha si la kwanza bali anafuata nyayo na sio hao Maaskofu tu bali hata wengine wameisharudisha kimyakimya!
Rudi jadili mada ya ACACIA!
Acha kuuliza Maswali ya Kijinga, unatia hasira sana hasa unapojadili hoja isiyolandana na hoja jadiliwa!Isome post niliyoiandika mpaka mwisho.
Nafahamu umeghadhibika kuona maaskofu wametajwa lakini usighadhibike, nimejenga hoja.
Unajuwa kuwa kanisa katoliki ni kubwa kuliko acacia?