CNN: Makampuni 5 ya uchimbaji dhahabu hayajawahi kulipa kodi ya dola bilioni 40 tangu 2000

Kwani umeambiwa hawataki kuzungumza? Mbona waliomba ripoti waangalie misingi ya madai wakakataliwa?

Kuna dhana kwamba ACACIA wameiba. Swali la msingi ni, how and based on what evidence?

1. Kama ni kwa ku-underdeclare quantity, hizo container zinapaswa kuchunguzwa na neutral party. Hawamapofesa wetu wanatuabisha na ripoti yao haina nguvi kwenye arbitration. Kampuni ya gold ikichimba gold na kukuta chembe za tin kwenye mchanga, hauwezi tena ukawadai kwa value ya hiyo tin. Kama its not economically viable ku-extract hiyo tin lakini ipo kwenye contents za mchanga, utawadai vipi kwa msingi upi sasa? Si tumewapa kibali cha kuchimba gold au? Hata kama kuna discrepancies, basi ziwe number za kueleweka. Mtu mwenye daladala moja huwerzi kusema anaingiza hela za dala dala kumi. Turn over ya ACACIA ni $1 bill. Unataka kuniambia wameficha $6 bill bila shaka kuwepo kwenye size of operations. Kwa hiyo shareholders hawashituka, industry experts hawajashituka etc. Hii ni listed company. Shareholders nao wanategemea audited reports kujua performance ya investment yao

2. Kama ni swala la percentage, mikataba iangaliwe. Huu sio wii per se. Ni mkataba mbaya na tumeshiriki kuuandaa
Kaka yote unayoyasema mi sipingani nawewe lakini, hoja kwanini wasije kwenye meza ya mazungumzo? Magu amekaririwa akisema wakichelewa atafunga migodi yao, sasa kwanini wasije kuzungumza badala ya kutoa matamko kwenye media. Sina shaka lengo ni kuipotosha jumuiya ya kimataifa ukiwemo na wewe ndugu yangu. Waje mezani tujue mbivu na mbichi, data kwa data, waliomba tuzungumze sasa wanasubiri nini, kila siku kwenye media kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taarifa kwa mujibu wa CNN.

Wanasema hiyo kodi halisi ya dola bilioni 40 tangu mwaka 2000(ukiacha faini na riba ya dola bilioni 150) hata makampuni makubwa matano yanayoongoza kwa uchimbaji wa dhahabu duniani kwa ujumla hayajalipa kodi ya kiwango hicho na kwamba hicho kiasi cha dola bilioni 40 kama kodi ni mara mbili ya kiasi cha kodi ambacho makampuni hayo yamelipa kwa ujumla tangu mwaka 2000.

Clip husika ya CNN kuhusu hii habari inapatikana kwa yule dada alieko US.



My take:
Hili jambo mbona linashangaza sana?!

Ukweli ni upi hasa?

mkuu, hapa kwetu vyombo vyetu ni mihemko tu ya kumfurahisha mfalme!

si mwenyewe ushaona details za ripoti za akina Osoro haziwekwi. wanajua kuwa ni za kupikwa tu kutafuta kiki!
 
Salary Slip at large. Yaani reference yako ni CNN? Kweli umekwisha. Rais wa nchi ambapo chombo hicho kiarusha matangazo yake alisema kinatoa fake news! Wewe unapata wapi uthubutu wa kuitumia kama chanzo sahihi cha habari za 'waporaji' wa rasilimali zetu?

Unajua kwanini anaki
Hizi kelele nyingi ni zaniniii?si waiache hii migodi isiyo na faida waende zao?kama unatozwa kodi isiyo stahiki na mmeshindwa kufikia muafaka si ufunge iyo biashara,maana ata usipofunga kodi itakufilisi sivyo??

Na hela waliyo-invest?
 
Jinsi Tanzania ilivyogeuka kuwa kituko na dharau kwa ulimwengu!
We are (officially) a laughing stock of the world in more than one way.
 
Hawa jamaa wa CNN ni moja main stream media ya kiharamia .Trup hana hamu nao kwa FAKE NEWS. Nakushangaa sana mdau badala ya kufanya research yako iliyo na mashiko unatutumia hii clip ili iweje . Nyie ndo mnaoitwa mental slaves .
Mkuu badala ya kumshangaa mleta mada ungeshangaa kwanza hesabu ambayo imewekwa mezani kama kodi wanayodaiwa hawa watu

Kumbuka Tanzania tumeshawahi kumiliki migodi kwa hiyo tulikuwa tunachimba na kuuza, je, ulishawahi kuona faida kubwa kiasi hicho

sasa iweje tu kwa kodi tena kwa migodi miwili tu ya Bulyanhulu na Buzwagi hawa wanadaiwa Tsh 424 Trillion? wakati mwingine tuzungumzie ukweli kuliko propaganda

Kama Magufuli anaamini hayo mahesabu kwanini migodi mpaka sasa hivi inaendelea kuchimba na kusafirisha dhahabu?
 
Hii ni taarifa kwa mujibu wa CNN.

Wanasema hiyo kodi halisi ya dola bilioni 40 tangu mwaka 2000(ukiacha faini na riba ya dola bilioni 150) hata makampuni makubwa matano yanayoongoza kwa uchimbaji wa dhahabu duniani kwa ujumla hayajalipa kodi ya kiwango hicho na kwamba hicho kiasi cha dola bilioni 40 kama kodi ni mara mbili ya kiasi cha kodi ambacho makampuni hayo yamelipa kwa ujumla tangu mwaka 2000.

Clip husika ya CNN kuhusu hii habari inapatikana kwa yule dada alieko US.



My take:
Hili jambo mbona linashangaza sana?!

Ukweli ni upi hasa?


Wao hizo hisabati wanazosema kuwa toka 2000 hawajalipa kiasi hicho cha kodi wamezipata wapi... Si wamezitoa kwenye hisabatiza hayo Makampuni? Kwa nini waamini hisabati zao washindwe kuamini hisabati zetu.? We are here to Challenge legitimacy of Acacia Book of Accounts. Kwa nini tunataka Kuamini kuwa Their Book of Account are corrects and not Cooked data?

Tuache Uzwazwa..
 
mmnh nakumbuka tulikua tunashindwa primary kuweka masifuri,badala ya laki moja,mtu unaweka million moja,(1,000,000) hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa labda na wenyewe TRA wameongeza masifuri,hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,kama hesabu simple namna hao TRA wameshindwa,then watumbuliwe kwa cost za kudhalilisha nchi yetu,tutaonekana wote mamburula,lol
yan juzi nilimuambia mtu nahisi kuna typin error imefanyika wameongeza masifuri
tra ituombe radhi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wa CNN ni moja main stream media ya kiharamia .Trup hana hamu nao kwa FAKE NEWS. Nakushangaa sana mdau badala ya kufanya research yako iliyo na mashiko unatutumia hii clip ili iweje . Nyie ndo mnaoitwa mental slaves .
fake news how???
kwamba hatujadai hio kodi au???
tusiwe desperate kisa shida zetu hzo hasira zako kwa wazungu zi direct kwa chenge na mkwere akat wana sign mikataba huko ulaya maana hao ndo wametufikisha hapa wazungu wametumia ujinga wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sijui John Thornton alikuja hadi Ikulu na tukampatia chai kwanini bashite hakumshika na kumweka ndani badala yake ana hangaika na vikina lissu saa hizi hizi fedha zingekuwa zimelipwa zamani
 
Back
Top Bottom