Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
****. Tuelezwe vyema namna utafiti huo umefanyika katika nchi zote duniani na namna ya kudraw sample iwekwe wazi na maswali yote yaliyoulizwa na waliofanya huo utafiti wajulikane (profile yao)!
Tusikubali kuwa tunatukanwa tu na watafiti uchwara na kauli za ujumla jumla kama hizi
Mkuu OMBUDSMAN, haitaji kuwa na ushahidi wa aliyefanya research na kutoa live coverage inayohusu Tanzania kukumbatia imani za ushirikina. ukipitia maoni ya wana-jf unaweza hata wewe kuwa na conclusion kama ile ya mtagazaji wa cnn. kama watanzania wanaweza kuchagua kiongozi kama prof majimarefu kwa sifa zake za kishirikina naviongozi waliowengi kwenda kwa wa ganga/wachawi ilikufanikisha mambo yao, yet utakumbuka wabunge kumwagiana unga bungeni....
nashauri tufikirie suluhisho la tatizo ili na zaidi tukianzia chanzo chake: umaskini uliokithiri na elimu duni. viongozi wanaojiusisha na ushirikina wasipewe nafasi za kuliongoza taifa, nafasi ya kuhubili neno la Mungu ipanuliwe, elimu inayokidhi mahitaji ya ya jamii (i mean creative and innovative knowledge) itolewe na seriKali iwe mfano ktk rule of law na kuwawezesha watanzania kutoka ktk dimbwi la umaskini huu uliokithiri.