CNN: Kenya inaongoza kwa matumizi ya ICT, Tanzania kwa uchawi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CNN: Kenya inaongoza kwa matumizi ya ICT, Tanzania kwa uchawi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mojo, Oct 5, 2012.

 1. M

  Mojo Senior Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Errol Barnett, mtangazaji wa CNN anafanya vipindi kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Juzi alitoa kipinfi kuwa Kenya inaongoza kwa matumizi ya computer na Internet barani Afrika.

  Sasa hivi naangalia kipindi hicho CNN kinasema Tanzania inaongoza kwa imani za uchawi duniani kutokana na utafiti wa Marekani. Kuna muhindi wa Tanzania kwenye hicho kipindi kama mkarimani amempeleka mtangazaji wa CNN kwa mganga wa kienyeji anaitwa Mama Safi.

  Hizi ni fitna za CNN dhidi ya Tanzania kuwapendelea Wakenya? Je, ni kweli Watanzania tunaamini sana uchawi? Napata maswali mengi huku nikiangalia kipindi hiki kwa hasira.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA!
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Dont believe everything you hear and read
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa nusu ya viongozi wa tanzania ni wanga, xorry wanatumia wapiga ramli kushinda na kulinda nafasi za kisiasa, kenya kaz kwenda mbele hakuna kujuana...wewe unapajua kijiji kinaitwa mlingotini hapo bagamoyo? Subiri uchaguz ndo utawaona wanasiasa hata usiwadhania wanaenda kuchanjwa chale, i destroy all witchcrafts works in the name of jesus
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  rd.jpg


  napita.
   
 5. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Hili nalo halihitaji degree kulibaini.Mmesahau ulinzi wa majini aliondaliwa prezda na marehemu mnajimu maarufu?
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Eti leo wanajifanya wamesahau!
   
 7. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  ukweli mtupu.
   
 8. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mi nafikiri kila nch inaushirikina ila inategemea wanavyoutumia,mfano hamna nch wachawi kama Marekan lakini hautalisikia hili CNN wala BBC
   
 9. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakati mwingine ukweli uwa haupingwi take it as it is!Yaan hata ile debate ya Juzi kati ya Obama Vs Romney Jinsi obama alivyokuwa amenyongonyea ingekuwa Bongo ungesikia amelogwa!:eyebrows:
   
 10. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Serikali nzima inaenda Loliondo kwa babu Mwasapile utategemea nini? Au ushasahau viongozi ni kioo cha jamii?

  Siyo tu CNN hata ETV ya Afrika kusini walishawahi onesha documentary film ya mauaji ya Albino Tanzania
   
 11. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli ina uma....SIO IMANI ZA UCHAWI TU, HATA POROJO TZ INAONGOZA.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa kuongoza sina uhakika, ila matukio yanayoripotiwa yanatuweka huko, uchunaj ngoz binadam, mauaji ya vikongwe, mauaji ya albino, mauaj ya watoto, ubakaj na kunajis watoto wadogo wa miez kadhaa, unyofoaj wa viungo vya mwili
   
 13. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sisi wa tz ni wachawi wa kijinga bara
   
 14. kimunyesam

  kimunyesam JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  nikweli jamani mimi ninaushahidi kuhusu hilo.ni nadra kenya kukuta bango la mganga wa kienyeji.wakenya nafanya nao kazi walipofika cha kwanza waliuliza mbona matangazo ya tv mengi ni vileo na uzinzi! Waganda pia wanahusudu waganga wa tz wanasema tuko juu!
   
 15. M

  Mboko JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu mie pia nilikuwa nacheki hiyo program ni kweli kabisa jibu ni Tanzania watu wengi wanaamini sana mambo ya uchawi na uganga wa kienyeji angaliaa kila leo waganga wanachipukia sasa huyu mama Safi hii stori yake ni uongo mtupu sema tu ni mjanja kwa kula hela ya wajinga wajinga pia watu kama mama Safi ndio wanachangia ndugu zetu wenye matatizo ya ngozi kuuliwa(Albino)so hapa cha kufanya badala ya kuwalea hawa waganga wa kienyeji ni bora wakapigwa stop.

  Mkuu umeona kile chumba anachoishi yule mama moja kwa moja utajua yule mama anaganga njaa na anajaribu kama atatoka.Ama kweli wajinga ndio waliwao wenzetu wanadeal na Ma ICT Bongo wanadeal na waganga wa kienyeji ati hata Mawaziri wanaenda kwa waganga ili wapewe madaraka, wabunge na wengine ati wanaenda kujikinga Lol wh told them hawa wachawi wanaweza kuwakinga.Ole wake amtegemeaye mwanadamu mwenzake
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dar Es Salaam, Tanzania (CNN) -- It conjures images of cauldrons and pointed hats if you live in the western world or exotic masks and sacred objects if you're on the African continent.

  Around the world a sense of mystery and fear engulfs witchcraft and nowhere is this more evident than in the East African nation of Tanzania. Here, faith in this specific form of African tradition can turn deadly.

  People with albinism have been dismembered in western parts of the country because so-called witchdoctors perpetuate a belief that albino body parts bring great wealth.

  Those suspected of witchcraft are also targeted; an estimated 600 elderly women were killed in 2011 due to the suspicion they were witches, according to the Legal and Human Rights Center in Tanzania.

  In fact, the Pew Forum on Religious and Public life conducted 25,000 face-to-face interviews in 19 African nations and found that among them, Tanzanians hold the strongest belief in witchcraft.

  I was advised [as a child] not to visit certain relatives considered to be witches. Joachim Mwami, Dar Es Salaam University

  It says 60% of the Tanzanians interviewed believe that sacrifices to ancestors or spirits can protect them from harm, and that many Christians and Muslims incorporate elements of traditional African beliefs into their daily lives.

  Dark arts flourished in Tanzania partly because, compared to its neighbors, it was "less colonized" by European powers, explains Joachim Mwami of Dar Es Salaam University.
  The anthropology professor says for centuries, witchcraft has "served to explain anything inexplicable," in rural villages like a severely sick child or strange illness.

  Professor Mwami admitted that, "even in my own family, I was advised [as a child] not to visit certain relatives considered to be witches," even though there was no proof. He says without access to education, people are more likely to follow the claims of traditional healers and pass down those beliefs to the next generation.

  Students at Dar Es Salaam University were reluctant to talk to CNN about opinions relating to witchcraft. Some explained, even if they don't personally believe in the practice, their relatives take it seriously.

  Others feel one must believe in the practice for it to have any power over them. So even with a university education, some students retain some faith in witchcraft.

  Believers seeking healing regularly visit Mama Safi, a self-proclaimed "good witch," who gained her powers after being visited by spirits, she says.

  "I'm able to remove evil, stomach sickness, migraines, typhoid and diabetes too," she boasts. Safi conducts parts of her ceremonies in Arabic, even though she claims to have never studied it.

  Her fee ranges anywhere from $20 to $120 depending on the service provided; expensive when you consider most Tanzanians live on less than $2 a day.

  Professor Mwami says the charging of any type of fee is not typical among traditional African healers and is more common among con artists capitalizing on the fears of others.
   
 17. C

  Chademason Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo linaifanya Tanzania yenyewe kuwa moja kati ya maajabu saba ya Tanzania. Viongozi kalibia wote wana amini uchawi kwenda mbele.
   
 18. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hii biashara inalipa sana nchini Bongoland ikishindana na ile ya madawa ya kulevya. Vibao vya matangazo ya utabibu wa ramli vinashindana na mabango Voda na airtel. Mgeni akiwasili Dar atajua kuna aina kuu mbili za biashara: huduma ya simu za viganjani na uganga wa kienyeji.

  Mwanazuoni mmoja kutoka Marekani alifanya utafiti wa imani za ramli jijini Dar kwenye miaka ya 90 na alichapisha utafiti huo kama kitabu, basi ukisoma utaogopa. Ni kweli Wabongo tumegubikwa na imani za kishirikina. Matukio ya mauaji ya albino, vikongwe, kuchuna watu ngozi kwa imani za uchawi yanajulikana duniani kote.

  Kwa hiyo ndugu yangu ukweli ndo huo. Tunachohitaji kufanya ni nini kifanyike kuindoa jamii katika dimbwi la ujinga na umaskini.
   

  Attached Files:

 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vikongwe na Albino wanauwawa kwa Imani za kishirikina! Wanasiasa na wafanyabiashara wanakwenda kwa sangoma ili wafanikiwe malengo yao.Hata marehemu Sheikh Yahaya alisema atampa ulinzi usionekana Dhaifu.Na mpaka leo ikulu haijakanusha ulinzi huo wa kimazingara.
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hii ni moja sababu kuu za umasikini TZ, ukiwauliza wanajifanya kutojua ama kuzingizia policy fulani.

  Kifupi nchi ya Tanzania inaongozwa na watu ambao hata darasa moja hawajafika, na karibu taasisi zote zinaendeshwa na watu ambao hata darasa la pili hawakufika, kivipi.

  Ni hivi wale maprof na Dr pale ni maboya tu, wanaoongoza nchi ni viji- babu, kama kwa babu tageta, babu yule wa arusha, mzee wa kikombe, mababu wa bwagamoyo, mababu wa sumbawanga, mababu wa kigoma nk.

  Maana viongozi wa nchi ama taasisi kabla ya kufanya jambo wananenda kuwauliza hawa mababu ambao shule ndo vile tena. Na tena nafikiri umeshajiuliza mbona hawa ma prof viongozi wetu maamuzi yao ni kama mtu hakwenda shule. Jibu ni NDIYO, maamuzi mengi ya nchi hufanywa na vijibabu ambavyo havijaenda shule na hao viongozi ma prof ni wana act kama PROXY tu kwa maamuzi ya vijibabu.

  Haikomei hapo, hata wananchi wa kawaida ktk mikoa mingi akishasoma tu ama akawa na pesa kiasi fulani, kwao kijijini hutoloka na wala nyumba hajengi kule kujijini na wala kitu cha kuleta maendeleo kule kijijini hafanyi na akienda kijijini anaenda kwa machale makuu. Hiki ndo kisa wanajazana mjini, tunajenga mjini wakati kule kijijini maendeleo yana rudi nyuma. Sasa umasikini utaisha je?
  Asilimia kubwa ya wabongo tunaamini ktk ushirikina, hili ni tatizo la msingi. Watu bado wanasagia mahindi kwa kutumia mawe ukisema uwapelekee mashine duuu utatishwa kama vile zimwi in no second laja. watu bado wanatumia ulindi na ulimbombo kujipatia moto, ukisema niwapelekee keberiti duu hata viboko watakuchapa.

  Mpakani mwa Mwanza na Shinyanga kuna kijiji kinaitwa GAMBOSHI, mie nilitaka kwenda kule maana kina hadithi zake zaki legend, duu nilivyotishwa nilikubali mwenyewe, unavunga hujatishika lakini si unajua mawazo ni ama mtu anachosema ni magnetic field, utajifanya i dont care, but it is already induced.
   
Loading...