WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,356
- 3,114
Jiwe mwenyewe ndio anatumia lugha za hovyo na kuropoka, hivyo lugha za ovyo anazisababisha mwenyewe. Jiwe, Ukichaa, Fyatueni na mengine kayatamka mwenyewe ...Kiongozi wa Nchi anajifedhehesha kwa kauli zake mwenyewe ... Kauli zake zinachukuliwa kwa uzito mkubwa mno.Awali ya yote ni vema uwe na lugha ya heshima kwa Head of State...Acha kutumia lugha ya 'jiwe', 'kuropoka' dhidi ya Mkuu wa nchi...jenga hoja yako vizuri bila kutumia lugha ya udhalilishaji kwa kiongozi wa nchi....Hiyo ni moja na jambo la pili ni vizuri ujiongeze katika masuala ya uelewa wa issues wa namna dunia inavyokwenda...Birth control ina athari zake...na wazungu wana maana kubwa kupigania birth control kwa third world countries ukiacha 'kilio' chao cha kudhibiti umasikini...wana ajenda yao kubwa zaidi...