Club Zinaongoza Kwa Kutoa wachezaji Bora Waliochukua Ballon D'or.

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
1.Barcelona-11
2.Real Madrid.Juventus na AC Milan-8
3.Bayern Munich-5
4.Manchester United-4
5.Inter Milan,Dynamo Kiev na Hamburg-2
 
Sijaelewa wamechukua wakiwa na hivyo vilabu au waliowahi kuchezea?
 
Manchester hebu wataje hao wachezaji waliptwaa hiyo tuzo.kwakweli sidhani km wapo.
 
manichester haijawahi kutoa mchezaji wa kuchukua hiyo tuzo labda kama unahesabia tuzo anazochukua Chirstian Ronaldo akiwa Real Madrid
Sio lazima ushabikie mpira Kama huujui shabikia hata pool table,baloon d or ya kwanza kwa Ronaldo aliichukua akiwa man united
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom